DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Aweke CCTV camera akusanye ushahidi wa kutosha afu a report kwenye vyombo husika
kuna mshakji maskani hapa aliijiwa na dadake kuhusu kesi kama hiyo,mume wake huyo bi dada anatabia ya kumnyonyesha mashine mtoto wake mdogo tena wakiume aisee jamaa alichoka akashindwa hata aamue nini..kumbe haya mambo yapo bana
Mnapomshauri huyu mama mkumbuke huyo ni mume wake na anampenda sana ndo maana akaolewa nae... Sasa kitendo cha kumfanyia ivyo mwanae its awkward kwa kweli.. I can feel her pain... She doesn't want to loose her husband even see her daughter get hurt... Its hard... Pole sana mumy
Hii habari ni kweli au hadithi?