Urafiki wa Lukuvi na Magufuli umeanza lini?

Hakika Lukuvi anajua kuzicheza siasa za CCM siku zote alikuwa kimya watu wanatangaza nia wanachambana yeye kimya tu na sasa dakika za majeruhi anaona Magufuli anaelekea kuibuka kidedea ameonyesha ukaribu wa hali ya juu kwenye mkutano mkuu hadi kuonekana kama bodyguard wake make kila anakoenda yeye ndo amuongoza pita hapa elekea kule wanyooshee mikono wale geuka kule. Duh Lukuvi noma

nimecheka sana... pia nimejiuliza sana swali hili.
 
hakika lukuvi anajua kuzicheza siasa za ccm siku zote alikuwa kimya watu wanatangaza nia wanachambana yeye kimya tu na sasa dakika za majeruhi anaona magufuli anaelekea kuibuka kidedea ameonyesha ukaribu wa hali ya juu kwenye mkutano mkuu hadi kuonekana kama bodyguard wake make kila anakoenda yeye ndo amuongoza pita hapa elekea kule wanyooshee mikono wale geuka kule. Duh lukuvi noma

hahaaa hiyo ndio siasa mpwaaa fununu

ndio waziriwako mtarajiwa.mkuu
 
Lukuvi hajipendekezi ila kapata wa kuruka nae, cku 2 3 hz jamaa kawa jembe balaa japo mwanzo nilikuwa namtilia mashaka
 
Dah!jamaa wameshindwa kujizuia wanaangua Shangwe kwa Mr J.P.M
 
Hakika Lukuvi anajua kuzicheza siasa za CCM siku zote alikuwa kimya watu wanatangaza nia wanachambana yeye kimya tu na sasa dakika za majeruhi anaona Magufuli anaelekea kuibuka kidedea ameonyesha ukaribu wa hali ya juu kwenye mkutano mkuu hadi kuonekana kama bodyguard wake make kila anakoenda yeye ndo amuongoza pita hapa elekea kule wanyooshee mikono wale geuka kule. Duh Lukuvi noma

Anaijua siasa

He is not stupid
 
Lukuvi ana akili sana. Pia magufuli alijipendekeza sana kwa mkapa na kikwete. leo anaenda kutangazwa mgombea wa ccm
 
Hakika Lukuvi anajua kuzicheza siasa za CCM siku zote alikuwa kimya watu wanatangaza nia wanachambana yeye kimya tu na sasa dakika za majeruhi anaona Magufuli anaelekea kuibuka kidedea ameonyesha ukaribu wa hali ya juu kwenye mkutano mkuu hadi kuonekana kama bodyguard wake make kila anakoenda yeye ndo amuongoza pita hapa elekea kule wanyooshee mikono wale geuka kule. Duh Lukuvi noma

Umeona kumbe
 
Amwache kwenye hiyo wizara ya ardhi, nyumba na makazi, anaiweza sana.
 
Back
Top Bottom