Recent content by Madam secretary

  1. M

    Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

    Habari Wana jamvi, Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why? Ladies take note
  2. M

    Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

    Kua wawili sio kuchoka Baba angu mkubwa ana wake wawili I can say he's the happiest man on earth Na wake zake wanapendana adi sio vzuri Tofauti na the so called ndoa ya mke mmoja na mme mmoja Ni the way we perceive things but my husband hatanioa peke angu tutakua wawili kanisa linisamehe
  3. M

    Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

    That's according to you sweetheart sijawai kua mchepuko I'd rather stay single than kua mchepuko kila mtu anapackage ake So relax
  4. M

    Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

    Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka. Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida. Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida...
  5. M

    Mikopo imepunguzwa kwa wanafunzi wa mwaka wa pili chuo Cha Moshi catholic university

    Sintofaham imetoke katika chuo Cha Moshi catholic university ambapo wanafunzi wanaondelea na masomo yaan second year na third year wamebandikiwa allocation mpya za mkopo Ambazo zinaonesha mikopo Yao kupunguzwa lakini vyuo vingine havijafanyiwa ivo. Mdogo angu ambae anasoma hapo anasema hawaelewi...
  6. M

    Recruitment portal

    Nimeanza degree imekubali diploma imekubali ila form four imegoma au nilitakiwa kuanzia form four
  7. M

    Recruitment portal

    Nikijaribu kuweka cheti Cha form four kinakataa inataka program name na ukiclick program name haikubali
  8. M

    Recruitment portal

    Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama plus profile picture inagoma kuaupload
  9. M

    Hivi kwanini wanaume huwa mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

    Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu? Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!
  10. M

    Nyie niitieni George

    The fact that tulikua tukigawa Haimaniishi tuendelee kugawa ndio maana tunakua tunajua tulikosea and it's never too late to change
  11. M

    Nyie niitieni George

    Nikijisifia sana ntaharbu lakini nimempima kwa macho tutaendana vzuri tyu
  12. M

    Nyie niitieni George

    Yaani basi tu ndo siwezi mwambia nyie George
  13. M

    Nyie niitieni George

    Yaani pale acha niteseke tu anilipue lipu kama hamza
Back
Top Bottom