Hivi kwanini wanaume huwa mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Mar 6, 2015
70
221
Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!

images
 
FYI, haya chini ni maandiko toka kwa Biblia

1 Petro 3
7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Hapo ilipoandikwa chombo kisicho na nguvu, tafsiri nyingine ni chombo dhaifu
 
FYI, haya chini ni maandiko toka kwa Biblia

1 Petro 3
7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima,kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Hapo ilipoandikwa chombo kisicho na nguvu, tafsiri nyingine ni chombo dhaifu
 
Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!

images
Kwanini umetumua kigezo cha biblia, tuachane na mambo ya imani, then turudi kwenye uhalisia wa maisha yetu ya kila siku, embu jaribu kujijudge wewe mwenyewe then jaribu kujudge wanawake wenzio kama 3 au 4, fanya ivyo kimya kimya tu ndani ya ubongo wako, jibu utakalolipata niambie.
 
Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!

images
Udhaifu wenu unatokana na kufanya mambo kwa hisia mara zote, endapo utakua unafanya maamuzi kwa kuzisikiliza hisia tayari wewe ni dhaifu, hisia hazikupi majibu sahihi ya kinachokutatiza. Wanaume wengi, sio wote but wengi wanafanyaga maamuzi kwa kutumia akili sio hisia, pengine ni maamuzi yenye positive effects or negative whatever, but tunatumia sana akili kuliko hisia, sio rahisi kuona tuna udhaifu.
 
kwasababu naweza kukona nikakutamani nikakufuata nikakushawishi nikakupeleka sehemu nikakuvua chupi na kukunyandua, usichukulie poa suala la kumshawishi mtu mzima mwenye akili timamu akakuvulia chupi ukafanya unachotaka, kaa ufikirie hicho kitendo sio jambo dogo.
 
1 Petro 3-5
7 Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa kuwahurumia, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
 
Back
Top Bottom