Mikopo imepunguzwa kwa wanafunzi wa mwaka wa pili chuo Cha Moshi catholic university

Mar 6, 2015
70
221
Sintofaham imetoke katika chuo Cha Moshi catholic university ambapo wanafunzi wanaondelea na masomo yaan second year na third year wamebandikiwa allocation mpya za mkopo
Ambazo zinaonesha mikopo Yao kupunguzwa lakini vyuo vingine havijafanyiwa ivo.
Mdogo angu ambae anasoma hapo anasema hawaelewi ni nin kinaendelea na maisha yamekua magum maana wanacheleweshewa Hela zao
Kama kuna mtu anaweza kuliona hili hebu naomba tusaidie
 
hili ni tatizo kubwa sana, sasa jipya ni hilo la kupunguziwa mikopo kama walivyoomba, hivi vyuo watanzania tusipokuwa makini vitatuulia vijana wetu, fikiria mwanachuo anaripoti chuoni naishi wiki mpaka tatu hajapata mkopo, si ndio mwanzo wa kujiuza na kufa kwa ukimwi?
 
Mkuu, sio chuo hicho tu.. Ni vyuo vyote Tanzania.. Inaonesha panga lililowakuta first year kuhusu ufinyu wa allocation hadi kwa continuing students imekuwa hvyo.. Me Niko somecollege hapa watu hawajapata boom hadi leo hii.. Unaweza kufuatilia ule Uzi wangu utaona vilio kibao kule
 
Hii nchi imekuwa ngumu sana.....kuna wadogo zangu mavyuoni huko sasa wanaenda wiki ya nne hawajapewa pesa ya matumizi(boom).......ukiwa na roho nyepesi hii nchi itakushinda.

Najua vile chuoni bila pesa hali inavyokuwa thus why naona wahusika vile wana roho za kishetani na uchawi kwa hawa wadogo zetu.

Mwanafunzi anakuja chuo akijua kabisa atakutana na pesa za kulipia pango....kula na matumizi mengine lkn washika rungu wanakula upepo na kukaa na hizo pesa ni bora wasingewapa mapema ili wazazi wajue namna ya kujipanga

Poleni sana wanangu tutafika tu nchi ya ahadi kikubwa tusikate tamaa tupambane kwa hali zote.

ASANTE
 
utashangaa hawahawa ndiyo wanaowapa sisiemu kura
 
wanapunguza kidogo mwaka wa pili niliona tofauti na wa tatu wakapunguza tena ndo yale yale wala asishangae ndo kawaida
 
Kwani si nilisikia mwaka huu pesa zime ongezwa na imevunja rekodi ya miaka yote ya JPMau zilikua siasa tu
 
Back
Top Bottom