Recruitment portal

Recruitment portal

katika vitu muhimu vya kuhifadhi kwa dunia ya sasa ni email huu ni ulimwengu wa kidigatal mkuu
nadhan ulikuwa huitumiii mara kwa mara
ila usikate tamaa ilikishindikana kabisa fungua email mpya kisha jiunge kama mtandao upo vizuri ni ishu ya siku moja tu unamaliza kila kitu
Kama alishaingiza details zake za NIDA, system itamgomea kufungua account nyingine.
 
Sorry hii recrutment portal unajaza tu ..then ikitokea nafasi utakua contacted au mpaka kue na nanafasi ndio ujaze then uapply?
 
Sorry hii recrutment portal unajaza tu ..then ikitokea nafasi utakua contacted au mpaka kue na nanafasi ndio ujaze then uapply?
Unajaza then unakuja kuapply ,pia unaweza kususcribe upate notification endapo kada yako kuna nafasi ya wazi
 
Personal details zinagoma kukubali nimejaza vyote kumbe module ya personal details nilikuwa sijajaza Sasa kila nilitakata kuweka inaniomba nida namba nikiiweka inaniambia imeshatumika kwa hiyo nashindwa msaada... Jamani deadline naiona hiyo na vigezo ninavyo..nimeandika feedback Mara tano sijasaidiwa ufumbuzi au hawataki kunipa ajira
 
Ukikwama nione nikusaidie kwa walio serious tu not for free 0626 402 722
 
Back
Top Bottom