Kumbuka unatafuta mtoto sio kwamba utampata siku unayotaka ww inaweza chukua hata mwaka mzima . na pia kumbuka unapozidi kuwa na mtu muda mrefu ndo mapenzi yanazidi kuwepo je ni nani atakubali kupoteza damu yake kirahisi hivyo
Najua ulimpenda sana na sisi tulimpenda sana ila mungu kampenda zaidi pumzika kwa amani mama yetu nasi tupo nyuma yako maana kila nafsi lazima itaoja mauti.
Ni heri kufia kwenye haki kuliko kufia kwenye utumwa wakati huo moyo wako hakustahili kuwa huko nape maisha ni popote na mungu anakuona wewe ni mkweli na utaendelea kuwa mkweli
Dada yangu tabia ya mtu huwa haibadiliki ukikubali tu kuwa naye Fanya vyovyote usiishie vijiset maana huyo yupo kwako kwa kipato ila mapenzi ya dhati sidhani. Hujabadilika kitu ndo yuleyule wa zamani sasa anataka nini zaidi ya pesa zao.achananae kabisa kwanza alishatoa talaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.