Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,447
Kumekuwa na kilele nyingi sana kuhusu hii serikali kinachonisikitisha izi kile azina faida yoyote kwa tunachokipigia tunachotakiwa watanzani wote kwa umoja wetu kama tumeona hii serikali inafanya mambo sivyo suluisho siyo mitandao ya kijamii siluisho kama tumechoshwa kweli tuingie barabara ili rais amini kweli nimechokwa tofauti na hapo tutapiga kilele huku kila siku na akuna faida yoyote kama amuezi kuandamana kila mtu akae kimya serikali ifanye inavyo taka