Kifo cha Peter mhando akiwa na umri wa takribani miaka 20 tena kwa kisukari na tena baada ya kuandika ripoti muhimu kwenda Dar es salaam kinanifikirisha sana, Hadi nawaza negative
Kosa la tanga, walitakiwa kuchangamka kumkimbilia Aziz ki kwenye kibendera, na kushangilia naye mda ule ule, Ile duwaa Yao ndo imewagarimu, afu pili motsepe aliingia madarakani kwa wapinzani wake wote kujitoa na yy kubaki mgombea pekee uenyekiti CAF kwaio mshamjua ni MTU wa aina gani so GSM...
Hz ni miongoni mwa mbinu anazotumia mheshamiwa February manyuzi, kujiweka akilini mwa watu, apa naona chawa wake wakijaribu kueka hoja nyepesi kumtetea apate huruma za wanyonge watz, Ila kiukweli February ni ibilisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.