Recent content by MACHALE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii nimeinyaka mahali, utajiri mzuri lakini......

    Utunzi murwa kabisa huu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei aeleza jinsi anavyomuogopa Rais Magufuli

    Ana zingua tuu huyo hana lolote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ndio mtandao wenye gharama kubwa Tanzania

    Usitumie nguvu kubwa kutuaminisha ukweli kwani tayari tunajua hawa jamaa niwakutupiliwa mbali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nitaachaje kuwa mbaguzi?

    Mimi mwenyewe hubagua sana wanawake sijui kwanini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jogoo wangu amepinda

    Wachaweeee!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima Zanzibar, watu watatu wajeruhiwa kwa kupigwa risasi

    Faini lakitatu naku achia ngombe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Njombe na Iringa inaongoza kwa ngono zembe

    Nikweli kuna ngono sana hatahapa mbeya ila Mimi ninaona dar nishida tupu. Kwani kila kona kuna dadapoa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Bawa la ndege laokotwa Kisiwani Pemba

    Ningeliokota mimi yaani ningeitumia vyema kabisa fursa hiyo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Kauli ya Rais Magufuli ni vita dhidi ya demokrasia na uhai wa vyama vingi nchini

    Pole sana maana inaonekana hujui ulicho kiandika na ulicho kiandika kitakuhukumu huku ukiwa hukijui tafadhali kitazame ulichokiandika ili kitakapo kuhukumu ujue nini kinacho kuhukumu! Atakumbe hata leo bado umropokaji??
  10. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Kauli ya Rais Magufuli ni vita dhidi ya demokrasia na uhai wa vyama vingi nchini

    Vyama vya siasa vilivyo kuwa vinafanya kama magu anavyo taka vifanye vyama vyote vya upinzani vili ishia kuitwa vyama vya Ruzuku jee mukulu anataka vyama vyote vya siasa kuwa vyama vya ruzukuu??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini miongoni mwa haya?

    Fafanua swali lako namba1.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini miongoni mwa haya?

    Kwani yupo wapi??.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini miongoni mwa haya?

    Hayupo huyo jamaa anaeitwa mungu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu wamezidi ukatili

    Unaishi wewe na huyu mtoto pekee yenu??. Kama unaishi na mume au ndugu yeyote alafu una mfungia mtoto ndani ya geti basi umebugi sana kwani maranyingi ni ndugu ndiyo wanao tenda hayo madhambi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mwalimu na wanafunzi yenye kufunza

    Kwakweli tumuombee rais kwamungu wetu sana.
Back
Top Bottom