Penelope
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 713
- 642
Kila wakati nikisoma magazeti ,lazima nikutane na habari za kusikitisha na zilizojaa ukatili kwa kipimo cha hali ya juu..
Mfano;Leo katika gazeti moja limetoa taarifa ya mtoto wa miaka 4,alielawitiwa na kuvunjwa shingo mkoani Arusha,
Jamani nimeumia nikifikiria mtoto huyu alivoteseka na kufa kifo cha kikatili kiasi hiki.
Binadamu tumekuwaje jamani?Kila wakati nikisoma habari lazima nikutane na habari za kutisha kama hizi,za kubakwa,kukatwa mapanga nk
Mimi ni mzazi,nina mtoto wa miaka 3,imefika hatua nafunga geti mda wote,hata likiwa wazi na mtoto akiwa anacheza hapo natoka mbio!kwenda kulifunga,,Naogopa!