BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
MSAADA: Ninataka Kujitoa Kwenye Klabu Ya Wasagaji Matajiri .
Habari za leo ndugu, ninakuomba unisaidie kuweka waraka wangu kwenye blogu yako, ili watu wenye uwezo wa kunisaidia hata kwa ushauri tu, waweze kunisaidia kwani nipo katika wakati mgumu sana sasa hivi . Natanguliza shukurani zangu za dhati kwako.
Kwa ufupi mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 .
Ninaishi Dar Es salaam na kazi yangu ni mfanyabishara. Baada ya maisha kunipiga sana, niliamua kwenda kuomba ushauri kwa mdada mmoja jirani yetu ambaye yeye mambo yake yalikuwa yamemnyookea sana.
Dada huyo aliniunganisha na mmama mmoja ambaye alikuwa anaishi Masaki, mama huyo akanipeleka kwenye klabu ya wanawake wasagaji ambao ni matajiri ambako niliingizwa kwenye utaratibu wa ibada( matambiko ) yao.
Hekalu la wanawake hawa matajiri lipo katika wilaya ya Kinondoni.
Waganga wakuu wa hekalu hilo wapo watatu, kuna wanaume wawili ambao ni vijana vijana tu na mwanamke mdada mmoja ambaye yupo kwenye umri wa kama miaka arobaini hivi na ushee.
Watu hawa watatu ni wachawi wenye nguvu za ajabu sana na pindi unapojiunga na klabu hii, unakula kiapo cha kutii na kufuata masharti yao katika siku zote za maisha yao.
Wanao kiuka masharti yao huwa wanapata matatizo makubwa sana.
Katika hekalu hilo, zinafanyika ibada za uchi za kila mwisho wa wiki na huwa zinahusisha mamia ya wanawake.
Niliingia katika klabu hii tangu mwaka jana (2013) mwanzoni, kweli nilipoingia nilitajirika sana baada ya muda mfupi tu. Kila kitu nilichokitaka katika maisha yangu nilikipata.
Hata hivyo pamoja na kupata mali na utajiri kupitia klabu hii, mimi ninataka kujitoa ingawa nashindwa kwa sababu naogopa kupata adhabu ya kuvunja kiapo cha watu hawa.
Ninataka kujitoa kwa sababu, kwanza sina amani moyoni mwangu. Nafsi yangu inanisuta sana kupata mali ambazo zinatokana na kujiunga na klabu ambayo memba wake wanamuabudu shetani,
vilevile ninajiona mkosaji sana kwa ninacho kifanya kwa sababu ni kama nimekuwa muabudu shetani.
Tatizo linalo nikabili ni kwamba, ninataka kujitoa lakini ninashindwa kwa sababu ninaogopa kupata adhabu ya kukiuka masharti ya klabu( dini ) hii ambayo kwa kweli ni magumu sana kwangu.
Ni tamaa tu ndio iliyo niponza, naomba mnisaidie ndugu zangu japo hata kwa kunipa ushauri.
Vilevile ninawasihi akina dada wa hapa Dar Es salaam, ambao nawaona kwa wingi sana wanaingia katika klabu hii.
Kuweni makini sana wadada wenzangu, hakuna hela wala mali za bure, kila kitu kina gharama yake, utakapo fika wakati wenu wakulipa gharama zake, mtakielewa ninacho kizungumzia hapa.
Nipeni ushauri kupitia barua pepe yangu ambayo ni ******@*****.com