cpendi kubagua watu inatokea tuSiku ukibaguliwa utapona
nitajiskia vibaya lakn sifanyi kusudi inatokea tuDuh em jifkirie we ukibaguliwa unajckiaje?? Kama utajickia vzur bas endelea kubagua ila kama utajckia vbaya jtahid uache kwa njia yoyote ile
asante ntatafuta youtubeHabari za huko ughaibuni bint!sikiliza zaidi speech za martin luther king
jenga mazoea ya kusoma BIBLIA TAKATIFU hasa Injili na barua za mitume
Soma biblie mkuu.... Pia kile kitabu cha ben think big au gifted hands!
Mh ndo nasikia leo bible ina ubaguzi..... Labda ungetueleza namna gani mkúu!?Hamna mlichomsaidia hapo ! Maana mnamuelekeza akasome kitabu (bible) ambacho kuna ubaguzi wa kufa mtu ! Kuanzia mwanzo mpaka mwisho !
Mungu amewapendelea wana wa-israel moja kwa moja na kuwabagua wengine wote bila hata ya chembe ya aibu ! Tena mpaka we unafahamu hili sema kwa kuwa unampenda mungu asiye kupenda unajitia kipofu !Mh ndo nasikia leo bible ina ubaguzi..... Labda ungetueleza namna gani mkúu!?
umetisha wahindi hawafai wamenifanya niwachukie wahindi wengine mpaka siku nakwenda kaburininahisi na mimi nashare tatizo na wewe sema case zetu zinatofautiana....mimi nimekuwa maeneo ya migodi ya mwadui; niliona jinsi wazazi wetu walivyokuwa wanabaguliwa na wataliano maboss wao....niliamua kusoma sana ili elimu inipe power mbele za watu wengine sababu baba yangu ndo aliniaminisha hivyo (alihisi anabaguliwa kwa sababu alikuwa hana elimu kubwa)....mwisho wa siku nikasoma mpaka nikafanikiwa kupata shahada kisha nikaingia na mimi kwenye ajira (nikafanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi) nikakuta bado nabaguliwa pia kwa sababu nilikuta wafanyakaz wa kiafrika wanakula canteen tofauti na wahindi, wana vyoo tofauti na wanavyotumia watu weusi, wanawatreat wafanyakaz wa usafi kama watumwa na walikuwa wana adabu kwa baadhi tu ya staffs wa kiafrika.....hapa nilijikuta naingiwa na roho ya ubaguzi kwa watu weupe asee; i remember i was fired because i sided with the low African workers ambao walikuwa wakinipenda na kunisikiliza sana na kupelekea kuchukiwa na top staffs wenzangu hatimaye kufukuzwa kazi.....tangu hapo huwezi kunikuta hata siku 1 nawaentertain hawa watu na nna wabagua mbaya ilifika mahali kuna siku nlimuona mzungu mmoja anakimbizwa na mbwa nlivyoona anaelekea huku kwangu nikamsakisia na kwa mbwa wangu waongezee nguvu
Wazungu hawana noma sana ila wahindi ndio wakupiga ngumi kabisa, kosa moja tu elements za dharau, utakuwa adui yangu milele!!!nahisi na mimi nashare tatizo na wewe sema case zetu zinatofautiana....mimi nimekuwa maeneo ya migodi ya mwadui; niliona jinsi wazazi wetu walivyokuwa wanabaguliwa na wataliano maboss wao....niliamua kusoma sana ili elimu inipe power mbele za watu wengine sababu baba yangu ndo aliniaminisha hivyo (alihisi anabaguliwa kwa sababu alikuwa hana elimu kubwa)....mwisho wa siku nikasoma mpaka nikafanikiwa kupata shahada kisha nikaingia na mimi kwenye ajira (nikafanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi) nikakuta bado nabaguliwa pia kwa sababu nilikuta wafanyakaz wa kiafrika wanakula canteen tofauti na wahindi, wana vyoo tofauti na wanavyotumia watu weusi, wanawatreat wafanyakaz wa usafi kama watumwa na walikuwa wana adabu kwa baadhi tu ya staffs wa kiafrika.....hapa nilijikuta naingiwa na roho ya ubaguzi kwa watu weupe asee; i remember i was fired because i sided with the low African workers ambao walikuwa wakinipenda na kunisikiliza sana na kupelekea kuchukiwa na top staffs wenzangu hatimaye kufukuzwa kazi.....tangu hapo huwezi kunikuta hata siku 1 nawaentertain hawa watu na nna wabagua mbaya ilifika mahali kuna siku nlimuona mzungu mmoja anakimbizwa na mbwa nlivyoona anaelekea huku kwangu nikamsakisia na kwa mbwa wangu waongezee nguvu
kuna siku nlimuona mzungu mmoja anakimbizwa na mbwa nlivyoona anaelekea huku kwangu nikamsakisia na kwa mbwa wangu waongezee nguvu
..