Recent content by m3zi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Monduli,Arusha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

    Hamy D we ni SHO 4 GA.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi, Mulongo wazomewa viwanja vya Soweto - Arusha

    wawafungie basi kama walivyowafungia wanachuo wa IAA. Huyu jamaa ni kilaza kinyama.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Kwa makuyuni chechemea wanaelekea kushinda. kati ya vituo 14 vituo vilivyojumlishwa ni nane na ushind wa figure kubwa dhidi ya wapinzani wao CDM.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Japo walidhni watatuchanganya kiakili,kura kupiga kwanza vingine baadae sana.

    ni kweli wameairisha makamanda. nadhani wanataka watuletee fedha kutununua maan walishaona kuwa wanapumulia mashine.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Japo walidhni watatuchanganya kiakili,kura kupiga kwanza vingine baadae sana.

    Tuna viongozi VILAZA kinyama Arusha hii.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rai tume ya uchaguzi itangaze mapema kuhairisha uchaguzi wa udiwani katika kata zote za arusha mjini

    Ama kweli tunaongozw na ma_mbulula.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

    we endelea tu kutumika kama condom, njoo arusha ujionee hali halisi na si kuambiwa na magazeti kupitia taarifa za waandishi wa habari makajanja hao.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

    A you sure is a troublemaker?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Japo walidhni watatuchanganya kiakili,kura kupiga kwanza vingine baadae sana.

    Ratiba yangu ya siku ya leo 1. Naenda shule ya sec. Kimandolu kupiga kura. 2. Naingia kanisani kujumuijka na wenzangu ibada ya pili kumwomba Mungu leo mabomu yawalipukie wao wenyewe. 3.Kurudi eneo la kupig kura kuhakikisha hakuna anayepita na hot pot na chupa za chai za kura feki kama Arumeru...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nape katua Arusha, kapokelewa kishujaa!

    KIMANDOLU? Labda ungeniambia Arumeru magharibi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Ama kweli wanayoiaribu nchi yetu ni wasomi, Mama Tiba naomba uirekebishe kwanza Manzese kisha uende kw Mnyamani Buguruni theni ukamalizaie ya kigamboni ndo uje hiyo ya singapore maan inaonekana mkijaenda namtumbo na kibandasamaki mtatuletea nyingine. fnya hivyo kabla ya 2015.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

    Wagojw wanapona kwa kasi kweli, naamini mpaka jmosi jioni kama mwigulu na nape wataendelea kuwepo nao wakuja CDM. Wamuulize kw nini kibajaji hajatak kurudi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vijana waipasuwa CHADEMA Sumbawanga

    kwa hiyo aliyenyimwa haki ni MPINI siyo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mh. Mbowe na hatari ya kujikanyagakanyaga kwenye kauli zake,amekosa msimamo kupita kiasi

    mwanasiasa wa ukweli ni lazima awe dynamic na si static kama unavyotaka wewe.
Back
Top Bottom