Japo walidhni watatuchanganya kiakili,kura kupiga kwanza vingine baadae sana.


M

m3zi

Member
Joined
May 19, 2013
Messages
32
Likes
0
Points
0
M

m3zi

Member
Joined May 19, 2013
32 0 0
Ratiba yangu ya siku ya leo
1. Naenda shule ya sec. Kimandolu kupiga kura.
2. Naingia kanisani kujumuijka na wenzangu ibada ya pili kumwomba Mungu leo mabomu yawalipukie wao wenyewe.
3.Kurudi eneo la kupig kura kuhakikisha hakuna anayepita na hot pot na chupa za chai za kura feki kama Arumeru mashariki.
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
Mbona nasikia Uchaguzi umeahirishwa?Mwenye taarifa sahihi anijuze.
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
40
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 40 135
ameni kamanda, vip hali ya arusha sasa...
 
M

m3zi

Member
Joined
May 19, 2013
Messages
32
Likes
0
Points
0
M

m3zi

Member
Joined May 19, 2013
32 0 0
ni kweli wameairisha makamanda. nadhani wanataka watuletee fedha kutununua maan walishaona kuwa wanapumulia mashine.
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 80 145
Mbona nasikia Uchaguzi umeahirishwa?Mwenye taarifa sahihi anijuze.
Wewe Farudume uko sahihi , that ishu biin postiponed antil fadha notisi ! Mtoa mada kakurupuka!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,273,879
Members 490,535
Posts 30,494,902