Vijana waipasuwa CHADEMA Sumbawanga

Vijana waipasuwa CHADEMA Sumbawanga

CHADEMA wanakwisha soon kabla ya uchaguzi mkuu ujao

Kutumika kwingine balaa. CDM kiukweli imeimarika sana mpaka hapa tulipo fika,ccm wanajua hilo na the biggest test yao ni 2015.waliokutuma hawalali wakiikumbuka CDM.In fact baadhi ya vijana ambao hawaja tulia chamani ni wenye tamaa ya maisha na usije ukashangaa kuona fedha walizo pewa zikiisha wakarudi CDM.Asilimia kubwa ya watanzania wamichoka ccm kabisaaa.
 
Sasa ulitaka azitunze wapi kadi hizo wanazompelekea? Yeye (Slaa), ameitunza kadi yake ya CCM, hao wengine waliona hawana haja ya kuwa nazo majumbani ndio maana wakazirudisha (kwa Slaa), lakini pia hawakumwambia Slaa awatunzie. Sasa kwa nini asizichome moto?

Nimelipenda jibu lako. Limejitosheleza.
 
Yote yatajulikana tu soon,na mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Kama aeshi ni mbunge wa mahakama na lema je mbuge wa police. Akili za hawa watu siji zinakuja usiku

Aeshi 2015 atashinda bila waswasi wwt
Pia. Yy ndoo atwaletea maendeleo. Hata kama hana digrii. Akili yake ni tosha na zaid ya mwenye phd
Ukiona mtu anaanza kujadili elimu wakati hajaulizwa ujue anajihami,hakuna aliyekuuliza kuhusu elimu ya Mbunge wako anayekufanya uishi mjini,wenzako unaodhani akili zao huja usiku wakati wewe umelala ndio wenye kujua mambo mengi kuliko wewe ambaye kwako mchana pekee ndio suluhisho la matatizo.
 
Aeshi ni jembe. Chuki zenu za kidini nfio zilizoleta fitna hapo kama swala ushinfi kwa kura zamaoni. Aliwagalagaza wenye phd

Chuki zenu mlizopewa na kuwekewa na mapadri wenu ndizo zilizoleta matatizo yote hayp.

Aeshi. Ni jembee na litabaki kua jembee.
Udini wenu. Hautawafikisha sehemi yyte.
Ubaya. Utawrudii tuu.
 
Nimeona huna jipya wala hoja,badala ya kutoa utetezi wenye weredi badala yake unaanza kuzungumzia udini,nakupa pole kwa kuwa na mawazo mgando,unahitaji unyago wa kisiasa ili ubadirike vinginevyo utakuwa bendera fuata upepo.
 
Ndoto za mchana hizo!
Wa Tanzania wa leo sio wale wa 1950
 
Mleta mada ameleta uzushi tu!! Chadema bado ina nguvu kubwa sana Sumbawanga.Inaoneka mleta mada anataka kupima kina cha maji au anajiridhisha kwa kuongea bila tafiti.Kama ana utafiti asingekuja na suala la mbunge ambaye hakuballiki hata chembe kwa wananchi na wazawa wa Sumbawanga mjini kwa ujumla.Mtachonga sana lakini chadema bado iko juu zaidi!!!!!!!!!!!!!
 
Huyo ni mbunge wa Mahakama, mzee wa tembo na Savimbi. Na hao wanakurupuka hapo ni watumishi wa mzee wa tembo.
 
Katika mkutano mkubwa wa Sumbawanga mjini wa Mheshimiwa Aeshi, vijana wametoa ya moyoni yaliyowafanya wake

1. Shinikizo la baadhi ya wazee pasipo kuwa na dira halisi.
2. Sera za CHADEMA zinazohuribiriwa kinadharia pasipo vitendo.

Mfano mahubiri kutoka CHADEMA ya haki na uadilifu wakati CHADEMA hiyo hiyo imeshindwa kuleta haki na uadilifu halmashauri ya Karatu inayo ongozwa na CHADEMA.

Kwa hayo machache viana wameamua kurudi CCM wakiongozwa na Mwenyekit wa baraza la vijana wa CHADEMA wilaya ya Sumbawanga mjini, ndg Komba H. Komba na mjumbe wa baraza kuu taifa CHADEMA, kamanda Fumpa na mjumbe baraza la CHADEMA mkoa ndg Crissy.

unaota ndoto!!! ungetuambia mkutano huo umehutubiwa na mtu mwingine na sio huyo Aieshi ningekubaliana nawe! lakini as far as I know Aieshi sijapata taabu kuona usanii wa Aieshi na hao wachumia tumbo!
 
Aeshi ni jembe. Chuki zenu za kidini nfio zilizoleta fitna hapo kama swala ushinfi kwa kura zamaoni. Aliwagalagaza wenye phd

Chuki zenu mlizopewa na kuwekewa na mapadri wenu ndizo zilizoleta matatizo yote hayp.

Aeshi. Ni jembee na litabaki kua jembee.
Udini wenu. Hautawafikisha sehemi yyte.
Ubaya. Utawrudii tuu.


kwa hiyo aliyenyimwa haki ni MPINI siyo?
 
Back
Top Bottom