Recent content by M2 wa kitaa

  1. M2 wa kitaa

    Happy birthday Edward Lowassa

    Happy birthday our president
  2. M2 wa kitaa

    Kutoka ute mweupe kwenye uume

    Fanya fasta kijana kuona dk vngnevyo 2takupoteza
  3. M2 wa kitaa

    Natafuta Kazi, Nina diploma ya Mechanical Engineering

    Asante mkuu, nitaelekea sehem hiyo
  4. M2 wa kitaa

    Natafuta Kazi, Nina diploma ya Mechanical Engineering

    Nimesema unicheki private message
  5. M2 wa kitaa

    Natafuta Kazi, Nina diploma ya Mechanical Engineering

    Nimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu, Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
  6. M2 wa kitaa

    RIWAYA: Sitaisahau Facebook

    Bonge la story
  7. M2 wa kitaa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtihani mwenyewe ulikuwa mgum sana hadi nikakosa cha kuandika
  8. M2 wa kitaa

    Hawa ndio washindi wa tuzo za watu

    Daaah! kumbe kuwa kijana raha! ctaki kuzeeka mie ili niule ujana hadi uombe poo
  9. M2 wa kitaa

    Hawa ndio washindi wa tuzo za watu

    Kwan sshv anauzee gan hadi asikuoe, ww sematu kama vipi nimwambie akutafute
  10. M2 wa kitaa

    Hawa ndio washindi wa tuzo za watu

    Namkubali sana huyo jamaa
  11. M2 wa kitaa

    Ifikie wakati Nchi za Africa tujitoe kushiriki Kombe la dunia

    Jaman hivi mchezo wa Ivory cost ulikuwa halali kweli! Mbona penati waliyopewa jamaa kama co halali au ndio ngozi kila siku niyakuonewatu? Mnasemaje wanajamvi juu ya hilo.
  12. M2 wa kitaa

    Inawezekana kubadili programme ulopangiwa DIT

    No! huwa n mara 1 tu, lisipotokea ndio bac tena mkuu
  13. M2 wa kitaa

    Kaka afumaniwa na dada ake

    Hapo wazazi wanahusika kwa asilimia 90 kama 100 kabisa kwan mtoto unavyomlea ndio anavyokuwa, so sion sababu kubwa ya kuwapiga hao watoto
  14. M2 wa kitaa

    Inawezekana kubadili programme ulopangiwa DIT

    Yaah! Inawezeka, utakapo maliza kufanya Registration utaandika barua ya kubadili coz, then utasubili majib ya barua yako ya mda wa wiki kadhaa km utakuwa umefanikiwa utasoma coz yako mpya n kama jina lispotoka basi utaendelea kusoma course uliyopangiwa tangu mwanzo.
Back
Top Bottom