Recent content by M2 kwao

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    hivi huyu jamaa anafahamu maana ya kambi ya upinzani kweli!?maana anakituhumu chama kimoja tu,ana agenda ya sili na cdm.au ndo mamluki kwenye vyama!!?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Aah!wananchi wenyewe wote ni weak,so hta slaa akipewa nchi naye ataonekana ni weak tu.afadhari ya huyu kathubutu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

    huyu jamaa kachaguliwa kuwawakilisha wananchi wa Arusha na matatizo yao bungeni na sio chama na matatizo yake bungeni.cha kuchekesha ni kwamba,jamaa muda wote yupo na wananchi wake wakiponda ccm hv,matatizo ya wananchi wake atayawasilisha lini serikalini?ndo mana huyu mama anasema,jimbo limekosa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili.~

    umemjibu kikubwa.huyo bado ni mtoto ungemjibu kitoto tu.na kama ni mkubwa basi anawalakini.manake mkubwa kumwambia mkubwa mwenzake mambo ya kitoto tunasema hapo kunawalakini!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi na nukuu ya uongo kutoka Biblia

    yani kak,huyo na mdogo wake sugu wote ni wasanii tu.hawana mapya hao
  6. M

    JamiiForums Tanzania CIA haimtambui Kikwete kama ni DR? Inatambua DRs watatu tuu katika Serikali ya JK!

    na ndio mana yule anaitwa Obama na huyu ni Kikwete,means hawafanani hawa kwa tabia.kichwa chetu kinapenda sifa hata kma ni za kijinga.
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOWARD WEBB kuchezesha Real Madrid vs Dortmund

    unajua hizo ni tabia za watu wafupi kujiamini hata panaposhindikana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOWARD WEBB kuchezesha Real Madrid vs Dortmund

    Wale ni wazee wa msuli.mtu kama c.ronaldo wakimgongagonga kdgo anapotea kimchezo.lkn pia hawa german wanamapafu ya mbwa muda wote wako fiti.ndo siri ya mafanikio yao.so madrid na kaka yake barca wajipange vzri.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya hatuna mishahara

    Yaani hata ukipata namba za huyo mkubwa wa elimu,naye hakawii kuingia mitini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Utaratibu wa CHADEMA kuchangia dakika 5 sijaupenda

    Kenya kila mmbunge ni dk5 na wanatema mapoint tu.sasa wabunge wetu midomoni wamejaa pumba tu afu uwape zaidi ya dk5 hapo watakachokifanya ni kuchafua hali ya hewa bungeni.hzo 5 ni nyingi mno kwa upuuzi wao.
Back
Top Bottom