HOWARD WEBB kuchezesha Real Madrid vs Dortmund

HOWARD WEBB kuchezesha Real Madrid vs Dortmund

Duu kweli kupenda kuna mambo..!

Funguka mdau, huamini kuwa ile ni penati nyepesi? Muamuzi mida mingine unapaswa kuwa na busara, mechi ya Barcelona mara mbili mpira umeshikwa ndani ya box tena ukielekea golini lakini refa kapeta tu na hakuna aliyemlaumu.
 
Wakali wa soka naomba mnijuze sababu ya huu utaratibu wa ratiba ligi ya ulaya nk je kwanini mechi ya madrid vs Dotmund imepangwa ya kwanza juma hili wakati ilikuwa ya pili juma lililopita?mbona hawajapumzika vya kutosha hii ni formula mbona hutokea hata cecafa,can,Euro nk mwenye upeo anipe sababu.
 
Yule mtu atamalizia machungu yake ya Man U kufungwa na Madrid Kwenye Mabingwa...huyo ni Mchezaji Mtiifu wa Man U...

Yote kwa Yote iHalaMadrid!!TUTASHINDA

Sent from BlackBerry

Kushinda mnaweza.... Hata mkipata 5 dortmund akipata 4 mtakuwa mmeshinda lakini mmetoka tu. Madrid bye bye.... Barca nao bye bye.... Tatizo wa spain washazoea sleak football, hawawezi kupambana physical, sasa wamekutana na watu physical wako fiti na mental wako fiti....... I Hala Germans!! Hitlers lolz!
 
Waspain hawampendi Webb na wameponda uteuzi wake lakini cha ajabu Mourinho na Ronaldo wamemsifu Webb.

Mimi kama mshabiki wa Real Madrid nadhani we couldn't ask for a better a referee zaidi yake. Kwanza atakua anataka kuprove something kwa Waspain, halafu cheap decisions kama ile penalty ya Lewandosky hutaziona ila mwisho wa siku is not about the referee, ni wachezaji ndio watakaoamua matokeo, nidhamu yao, kujituma, kujitoa kupambana bila kukata tamaa and of course a bit of lucky.

Hala Madrid!
goli nyingi hizo hana cha kuongea pale ni german sio maneno pale ni kazi sio maneno
 
real m 2 dortmund 4 agg real m 3 dortmund 8 pole sana jose mourihno cv yako imeshuka timu hiyo imekushinda umezoea kila unapokwenda unanunua timu
 
Wale ni wazee wa msuli.mtu kama c.ronaldo wakimgongagonga kdgo anapotea kimchezo.lkn pia hawa german wanamapafu ya mbwa muda wote wako fiti.ndo siri ya mafanikio yao.so madrid na kaka yake barca wajipange vzri.
 
Dah wammepeleka m23 tutarajie nini loh
 
alichezesha WORLD CUP FINAL na CHAMPIONS LEAGUE FINAL.....why???because he is EXCELLENT....otherwise hata EUFA na FIFA nao ni man utd!!!?kama anapendelea kiasi cha amateurs huku mitaani kuona FIFA au EUFA wangeliona hilo wasingemchagua kuchezesha mechi zao kubwa kuliko zote.......
mkuu Webb alichezesha fainali ya kombe la dunia 2010 alionyesha zaidi ya kadi za njano 12,zaidi ya kadi 7 alionyesha upande wa holand. Mechi ile ya fainal ni 1 kati ya mechi zilizokuwa na maamuzi mabovu katika FIFÂ 2010. Webb ni mtu wa filimbi sana. Webb kwa kuwa ni mwingereza mnamwona kama bonge la mwamuzi, ila jamaa hamna ki2. Promo tu kama kawaida yao
 
alichezesha WORLD CUP FINAL na CHAMPIONS LEAGUE FINAL.....why???because he is EXCELLENT....otherwise hata EUFA na FIFA nao ni man utd!!!?kama anapendelea kiasi cha amateurs huku mitaani kuona FIFA au EUFA wangeliona hilo wasingemchagua kuchezesha mechi zao kubwa kuliko zote.......

Hujui kitu kaa kimya..kwa taarifa yako mwenyekiti mpya wa FA ka declare kuwa yeye ni man utd damu
 
Kushinda mnaweza.... Hata mkipata 5 dortmund akipata 4 mtakuwa mmeshinda lakini mmetoka tu. Madrid bye bye.... Barca nao bye bye.... Tatizo wa spain washazoea sleak football, hawawezi kupambana physical, sasa wamekutana na watu physical wako fiti na mental wako fiti....... I Hala Germans!! Hitlers lolz!
una uhakika na unachoonga?
 
Anajua nini huyo? Soma alichoandika ndio utajua kichwa chake kimejaa uji wa dengu. Eti "hala German",
kweli tumuache,ila amini usiamini kuanzia kesho hadi keshokutwa mimi nina uhakika matusi,kashfa na dharau zitapungua humu,kutakuwa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom