Huna jipya sisi wananchi huku nje tunawasubiri kwa hamu. Kumbuka tuna kadi za CCM na sio CHADEMA sisi. Kama hamuamini tutawaonesha kazi. Iweje mtuhumiwa apewe nafasi ya kujipatia hukumu?
Nimeona niyaseme haya hasa baada ya kushuhudia mapokeo ya ripoti mbalimbali kwa upande wa serikali ya chama cha mapinduzi.
Tukianzia na tume ya jaji Kisanga, Tume ya katiba ikiongozwa na Jaji Warioba na sasa ni kamati ya PAC.
Wote walifannya kazi waliyoagizwa kwa mujibu wa sheria...
Nawahurumia sana Stanbic Bank na Mkombozi kwa kusaidia kutakatisha fedha. Kuna uwezekano mkubwa sana zikaingizwa kwenye global watch list kama taasisi za fedha zinazo chochea utakatishaji wa fedha.
Kwa upande wa Mkombozi bank, hizi habari si nzuri sana kwa sababu zinakuja kipindi ambacho...
Beba mimba umzalie mtoto, ataanza kukuamini. Mimi mwenyewe simuamini wife mpaka kesho, sababu hasa ni mazingira niliyokulia. Mambo niliyoyaona katika maisha yanatisha mno kuhusiana na uaminifu katika relation. Kwangu advantage inakuja kwa vile mtu hawezi kunisoma kwa urahisi kwamba simuamini.
Eneo gomvu kwa bei hiyo???? Kalaghabaoh......kweli nimeamini ule usemi wa kwamba " information is power"
Less informed dudes are most likely to fall into your trap! All the best superman Akiri=akili kichwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.