Utajisikiaje ukijua umemletea mumeo/mkeo UKIMWI?

T

tundatamu

Member
Joined
Nov 26, 2012
Messages
12
Likes
1
Points
0
T

tundatamu

Member
Joined Nov 26, 2012
12 1 0
Utajisikiaje ukijua umemletea mwenzio UKIMWI au Magonjwa ya zinaa hali yeye alikuwa ametulia? Kama ni mama yawezekana alikuwa ananyonyesha na mtoto alizaliwa mzima lakini baadaye kwa kuwa bado ananyonya na yeye anaathirika. Imemtokea jirani yangu ni mama alijifungua akiwa salama na mtoto alikuwa salama juzi kagundua mume amempa mimba mwanamke mwingine jirani ambaye inaesemekana ameathirika na UKIMWI. ikabidi mke akapime na mwanae ana mwaka mmja na nusu wote wamekutwa wameathirika.
 
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Messages
4,746
Likes
1,518
Points
280
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2009
4,746 1,518 280
Not fair at all,halafu wale watu wanaokuaga na tetesi za kuwa wameungua mitaani mara nyingi wanakuaga wameungua kweli.
 
Nasema

Nasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
558
Likes
17
Points
35
Nasema

Nasema

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
558 17 35
Inasikitisha na inauma sana, ila maisha inabidi yaendelee tu, blame game haisaidii. Lakini nasikia hii kitu inapona siku hizi, ati dawa zipo. But hazijathibitishwa tu!

Utajisikiaje ukijua umemletea mwenzio UKIMWI au Magonjwa ya zinaa hali yeye alikuwa ametulia? Kama ni mama yawezekana alikuwa ananyonyesha na mtoto alizaliwa mzima lakini baadaye kwa kuwa bado ananyonya na yeye anaathirika. Imemtokea jirani yangu ni mama alijifungua akiwa salama na mtoto alikuwa salama juzi kagundua mume amempa mimba mwanamke mwingine jirani ambaye inaesemekana ameathirika na UKIMWI. ikabidi mke akapime na mwanae ana mwaka mmja na nusu wote wamekutwa wameathirika.
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,970
Likes
22,440
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,970 22,440 280
Kwa kuwa tuliapa kuvumiliana kwa mema na mabaya no shida at all......sitajisikia vibaya
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,581
Likes
836
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,581 836 280
Mtoto Mwaka mmoja na nusu, meaning mama na baba hawakuhudhuria clinic ya mama baba na mtoto. WHY?
Mama hakwenda clinic?
Hakipimwa ukimwi na VDRL?

Kwanini nimeuliza hivyo, coz angeenda clinic wangempiman na kumusnzishia dose ambayo angezaa mtoto ambaye hajawa infected. I don't care about the couple but I DO care about the baby.

Why bring the innocent child ambaye anakuja kuteseka; imagine anakuwa hadi kufikia chuo hata kupata mchumba inakuwa kazi. This is not fair kabisa!
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,426
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,426 280
inauma sana.....

Na inauma zaidi maana wanaume huwa mnaleta majanga makubwa sana kwenye familia kutokana na uroho wenu........sijui kwa nini mnapenda kuteketeza familia kwa style hii, !

dah so sad........
 
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
296
Points
180
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 296 180
Inasikitisha sana.
 
dunia tunapita

dunia tunapita

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
357
Likes
2
Points
35
dunia tunapita

dunia tunapita

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
357 2 35
ntajickia vibaya sanaaaaa!!! na upendo utkua negative kabisa
 
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
268
Points
160
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 268 160
OMG!!!! Mama huyu anaishi wapi?? Maana navyojua mimi siku hizi ukiwa mama mjamzito kupimwa ni lazima sio hiari.............na si kwamba wanafanya vibaya bali kwa upande wangu nawaunga mkono wanaepusha kuwapa taabu viumbe wasokuwa na dhambi imagine mtoto anazaliwa na HIV+ toka kwa Mama it is not fair wajameni...........PMTCT ipo kwa ajili yako Mama jamani hudhuria clinic usimpe shida mtoto mdogo wa watu imenipa uchungu sana hii kitu dah..........huwa nawaonea huruma sana watoto kama hawa jamani haaaaaaa
 
M

muhinda

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
342
Likes
43
Points
45
Age
37
M

muhinda

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
342 43 45
naona hamjamuelewa mtoa mada.
alichosema ni kwamba mama na mtoto walikuwa salama wakati wa kujifungua. Yaani inaelekea waliathiriwa baada ya kujifungua.
someni vizuri mada mtaelewa.
 
M-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
605
Likes
15
Points
0
M-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
605 15 0
Duh afadhali yako umesoma between lines umemuelewa mtoa mada! Wengi wameishia kudhani kwamba mama amejifungua mtoto huku akiwa na maambukizi!

naona hamjamuelewa mtoa mada.
alichosema ni kwamba mama na mtoto walikuwa salama wakati wa kujifungua. Yaani inaelekea waliathiriwa baada ya kujifungua.
someni vizuri mada mtaelewa.
 
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Likes
15
Points
0
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 15 0
Kama ni mzinfifu ni kitu cha kawaida tu hicho :biggrin1:
 
T

tundatamu

Member
Joined
Nov 26, 2012
Messages
12
Likes
1
Points
0
T

tundatamu

Member
Joined Nov 26, 2012
12 1 0
OMG!!!! Mama huyu anaishi wapi?? Maana navyojua mimi siku hizi ukiwa mama mjamzito kupimwa ni lazima sio hiari.............na si kwamba wanafanya vibaya bali kwa upande wangu nawaunga mkono wanaepusha kuwapa taabu viumbe wasokuwa na dhambi imagine mtoto anazaliwa na HIV+ toka kwa Mama it is not fair wajameni...........PMTCT ipo kwa ajili yako Mama jamani hudhuria clinic usimpe shida mtoto mdogo wa watu imenipa uchungu sana hii kitu dah..........huwa nawaonea huruma sana watoto kama hawa jamani haaaaaaa
alipima na alikuwa salama mpaka anajifungua ameambukizwa baada ya kujifungua. na mtoto ameambukizwa kwakuwa alikuwa ananyonya.
 
neggirl

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Messages
4,829
Likes
88
Points
145
neggirl

neggirl

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2009
4,829 88 145
Mtoto Mwaka mmoja na nusu, meaning mama na baba hawakuhudhuria clinic ya mama baba na mtoto. WHY?
Mama hakwenda clinic?
Hakipimwa ukimwi na VDRL?

Kwanini nimeuliza hivyo, coz angeenda clinic wangempiman na kumusnzishia dose ambayo angezaa mtoto ambaye hajawa infected. I don't care about the couple but I DO care about the baby.

Why bring the innocent child ambaye anakuja kuteseka; imagine anakuwa hadi kufikia chuo hata kupata mchumba inakuwa kazi. This is not fair kabisa!
Kaunga kama umeelewa vizuri mama alikuwa mzima hyo ishu imetokea baada ya kujifungua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Forum statistics

Threads 1,235,546
Members 474,641
Posts 29,226,358