Shamba la heka 16 linauzwa lipo kigamboni

Shamba la heka 16 linauzwa lipo kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Shamba la hekari 16 linauzwa​

  • lipo wilaya ya Tameke Dar es Salaam
  • Amani gomvu ni mwendo wa 32km toka feri ya magogoni
  • shamba lipo tambalale
  • gari linafika mpaka shambani
  • umeme upo umbali wa 1.km maji bado unaweza chimba kisima
  • eneo linafaa kwa matumizi ya elimu . dini. viwanda , makazi ama kuedelea kuwa shamba ktk ubora na
  • kila heka inauzwa 4m ,
kwa muhitaji ya shamba hili na mengine mengi tuwasiliane 0755 099 291 & 0657 145555
au ni pm au thomasnelson564@yahoo.com . info@havilla.net
 
mchoro wa shamba hili upo tayari , watu wa upimaji pale Temeke manispaa wanao , hivyo inarahisisha sana upimaji wa eneo, bei inazungumzika wakuu,
 
Asanteni kwa cm na email shamba bado lipo karibuni
 
4M kwa ekari?! Aisee! Liko baharini? Kuna extinct animals?
 
Eneo gomvu kwa bei hiyo???? Kalaghabaoh......kweli nimeamini ule usemi wa kwamba " information is power"

Less informed dudes are most likely to fall into your trap! All the best superman Akiri=akili kichwani.
 
Eneo gomvu kwa bei hiyo???? Kalaghabaoh......kweli nimeamini ule usemi wa kwamba " information is power"

Less informed dudes are most likely to fall into your trap! All the best superman Akiri=akili kichwani.
we una akili timamu ?
 
asante wakuu ! siku za shamba zinahesabika siku si nyingi litachukuliwa lkn mlango bado wazi karibu sana tuwasiliane
 
Hili shamba limerudishwa tena sokoni mnunuzi ameshindwa kulipia kama alivyoahidi , shamba bado linauzwa wadau karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom