Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje? mbona mm simfatilii kiasi hicho na namwamini hata nimwone online simwazii baya llte y me? nisaidieni wadau maana nahisi kumpoteza kwani ananifanya sina amani kila wakati ananilalamikia tu na wakati sina mahusiano yyte mengine zaidi yake.

huyo hakupendi kabisa na pengine amepitwa na wakati,yeye bado yuko analogia na ile wengine tuko digitali,hadi fb hataki huyo ni burula 2 acha nae
kila ukicheka utamu,kila ukilia utamu
 
Beba mimba umzalie mtoto, ataanza kukuamini. Mimi mwenyewe simuamini wife mpaka kesho, sababu hasa ni mazingira niliyokulia. Mambo niliyoyaona katika maisha yanatisha mno kuhusiana na uaminifu katika relation. Kwangu advantage inakuja kwa vile mtu hawezi kunisoma kwa urahisi kwamba simuamini.

Huu nao na ushauri? Unauhakika gani kilichoandikwa hapa ni cha kweli? Haya mambo ya mtandaoni ni magumu mno....we acha tu
huyo hakupendi kabisa na pengine amepitwa na wakati,yeye bado yuko analogia na ile wengine tuko digitali,hadi fb hataki huyo ni burula 2 acha nae
kila ukicheka utamu,kila ukilia utamu
 
Anakupenda sana huyo jamaaa, muaminishe kwa kuwa nae jirani zaidi na sio mbaya kama akajua nini unafanya kila wakati....
 
na wewe unafanya hayo yote?
kama unayafanya kwa nini asikuamrishe anachotaka?
huyo atakupa KIZUNGUZUNGU tu..... source Erickb52
Hahahahaaaaa
Hivi unaujua ule wimbo wa Zunguka Zunguka Zunguka....hahahaaa tena ukiwa umejidunga ndovu inanogaga aiseee lol
Yan unazunguka huku unapata upako FP ila ukinogewa kuzunguka kifuatacho ni kumwangukia wa pembeni yako!
Heheheheeee
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini sana.mshukuru Mungu amekuonyesha mapema ni mtu wa namna gani uliyenae.akikuoa hutaweza vaa nguo Nzuri,hautoweza kujipamba na mwisho wa siku utaishia kunyanyaswa na kuachwa hapo.mbele yake wewe hakuna Jema hatakidogo utalofanya.amka simama na kimbia huyo si mwanaume hatakidogo.
 
mambo mengine ni magumu sana, hata akimpa pword ndo nini?
na kuhusu kupokea simu, sidhani kama huyu dada anaacha kupokea makusudi. ina maana awe na simu masaa yote sababu asimiss tu simu ya huyo mtu? who is he anyway!

well said,nimekuaminia
 
dah umenigusa sana kwakwel kwani usemacho nakiona mbele yangu nishajaribu kumuacha two times bt anajiludi na kusema anaomba nifuate anachotaka yy kama kumpa password zangu zote kitu ambacho nimefanya lakini haijasaidia kitu anataka nikitoka tu kazini nizime cm zangu mbili ibaki moja tu anayojua haina internet wala haina no za marafiki lakini bado haniamini.

Mnh! Kweli kuna watu mnajua kupenda.
 
Jamaa ana gubu, watu wa dizain hzo mtakua na mapenz ya tetekuwanga kwenye ndoa yaan kila saa mtogombana

Mtu wa aina hii huwa anakuwa chanzo.cha.mapenzi kuchuja..... Mwanaume gubu hatari sana katika mahusiano......
 
Beba mimba umzalie mtoto, ataanza kukuamini. Mimi mwenyewe simuamini wife mpaka kesho, sababu hasa ni mazingira niliyokulia. Mambo niliyoyaona katika maisha yanatisha mno kuhusiana na uaminifu katika relation. Kwangu advantage inakuja kwa vile mtu hawezi kunisoma kwa urahisi kwamba simuamini.

sasa kuzaa kutaongezaje uaminifu. Mie Nina wangu tuna Watoto wawili sasa Lakini bado haniamini, akiniona nachat tu lazima aivizie simu achungulie nilikua nachat na nani.
 
Hahahahaaaaa
Hivi unaujua ule wimbo wa Zunguka Zunguka Zunguka....hahahaaa tena ukiwa umejidunga ndovu inanogaga aiseee lol
Yan unazunguka huku unapata upako FP ila ukinogewa kuzunguka kifuatacho ni kumwangukia wa pembeni yako!
Heheheheeee

Wewe Erickb52 nitakusue kwa kuniumiza mbavu zangi ohooo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini sana.mshukuru Mungu amekuonyesha mapema ni mtu wa namna gani uliyenae.akikuoa hutaweza vaa nguo Nzuri,hautoweza kujipamba na mwisho wa siku utaishia kunyanyaswa na kuachwa hapo.mbele yake wewe hakuna Jema hatakidogo utalofanya.amka simama na kimbia huyo si mwanaume hatakidogo.

chukua huu ushauri dada, wengine yashatukuta tunatafuta pa kutokea hatupaoni, tunabaki kujuta kwa nini tulizidharau ishara za mwanzo kama hizi.
 
kwa nini unaogopa kumpoteza? huwezi kuishi bila yeye?[/QUOTE

naogopa kwasababu ya yy asivyoniamini inamaana tutaachana naumia kuachana nae sababu nampenda na sifanyi chochote kibaya

Pole.. Kama wampenda na ogopa kumpoteza.. Inabidi uwekeze au ujitolee katika kumfanya akuamini.

Unaweza kumpa passwords au unaweza kupunguza idadi ya social networks ulizopo.

Respond kwa masiliano yake asap.

Yani mjengee mazingira ya kumfanya akufikirie in apositive way.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hapo kwenye RED pana ushauri mzuri. Ntauchukua.
 
Back
Top Bottom