Recent content by m.o.d.y

  1. M

    JamiiForums Tanzania UDASA wakiri mdahalo wa katiba UDSM ulichezewa rafu na CCM

    ccm nchi imewashinda nipeni mimi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe

    hilo vaz ni utamulishonashauri libakie kama lilivyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa toka NEC ya CCM - Yaridhia mabadiliko ya Katiba ya CCM

    Mimi nilishaacha kufuatilia siasa za ccm tangia kipindi rostam alipoziita siasa uchwara.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu akimbia maswali leo bungeni

    Katika hali isiyo ya kawaida leo spika ametangaza kuwa hakutakuwa na maswali ya papo kwa papo kwa kuwa waziri mkuu hayupo.ndugu wana jf je hii ni ishara ya kitu gani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Duh!,kumtambia kote tundu lisu kumbe yeye form six, c ziligeukiana.kupitia ole sendeka nimejifunza kitu kimoja cha msingi ukiwa ccm huwezi kuwa na msimamo endelevu kama wa chadema.
  6. M

    JamiiForums Tanzania tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    Nimuda sasa nimeuvumilia vya kutosha naona umefika wakati wa kwenda kuliko bora.Haiwezekani unampigia mtu simu unaambiwa simu haipatikani,ukipiga tena inaita mara inakatika.ukipiga tena haipatikani,ukipiga inaita yaani ukitaka kuungoe na mtu inabidi jitahada zitumike ili uweze kuonge na mtu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Uhuru ni wa tanganyika ila mimi mwenyewe huwa hainiingii akilini kusikia miaka 50 ya uhuru wa tanzania.umefika wakati sasa watanganyika kuudai utaifa wetu tuache kupelekwa na viongozi wetu kwa maslahi yao binafsi.minadhani ni bora tukaanza na hili la kudai katiba ya tanganyika kabla ya kudai...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

    Haingii akilini kukubali kuwa matoke ya uchaguzi mdogo huko igunga mpaka wakati huu mshindi hajatangazwa kwa sababu tu eti sheria ina ruhusu kutangaza matokeo ndani ya saa 24. Au ndio tuamini kuwa mnahangaika kuzishusha asilimia za CHADEMA ili ccm isionekane kuwa imechokwa na kadri siku...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

    Haingii akilini kukubali kuwa mpaka hivi sasa tume ya taifa ya uchaguzi haijatangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mdogo huko ugunga. kwa sababu tu eti sheria inaruhusu kutangaza matokeo ndani ya saa 24.NEC mnahofia nini kutoa matoke yote ya jumla au ndio tukubali kuwa vichwa vinawauma kuzishusha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    Hawa watu sijui wanamatatizo gani wakiambiwa wathibitishe kauli zao wanaingia mitini.wanaropokaropoka tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu mauaji Tarime?

    Faiza foxy we ni nyumba ndogo ya polisi...!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Sitta asihamie CHADEMA tujue moja?

    Sita hawezi kupokelewa na CDM Kwa sababu kubwa moja, mnafiki(s.sita) ni hatari kuliko kafiri(mafisadi wanaojulikana) jumlisha usaliti wake kwa mpendazoe na uhaini kwa chama chake hastaili kuwepo kwenye jahazi la cdm .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Wewe unayejua tuambie kasema nini? Nahitaji kufahamu vizuri.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Ana makinda kama kaptula la marx na nyerere.
  15. M

    JamiiForums Tanzania To you Power Breakfast: Fumbo mfumbie mjinga, na ufumbapo usiwe mjinga!

    Ni uongo mkubwa kusema cdm inachochea fujo.inachofanya cdm ni kutoa elimu ya uraia kwa wananchi sasa uelewa umeongezeka raia wanaanza kudai haki zao elewa hivyo, hata mababu zetu baada ya kupata elimu walianza kupingana na udhaimu walio kuwa wanafanyiwa na wakoloni.
Back
Top Bottom