Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

It looks CCM wameshinda! Fine, wameshinda lakini wameshindwa vibaya sana, kutoka uchaguzi wa mwaka jana inaonekana wameporomoka kwa zaidi ya kura 9,000, viashiria vinazidi kuonyesha kuwa CCM haikubariki! Ni ushindi mwembamba sana kwa chama tawala na kwa nafasi hii napenda kuwapongeza sana CHADEMA kwa mafanikio makubwa waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata nchini. CHADEMA tambueni kuwa tayari CCM wanauhakika kuwa mmekaribia kabisa kutwaa Dola na wanajaribu kila njia kuwadhoofisha. Now a way-forward, Fungua matawi ngazi zote za vijiji, kata, hadi wilayani, simika mizizi, hii nchi ni ya CHADEMA kwa sasa. Tunafurahia ushindi huu kwa CHADEMA kwa kuwa imejidhihirisha kuwa chama kina uwezo mkubwa wa kujieleza, kueleweka na sera safi. Ninasema tena Hongereni CHADEMA hamjachaguliwa ila mmeshinda! Ninyi ni washindi.

sounds good...ila mimi bado nasubiri MATOKEO
 
Hoa wehu, nani aliwaajiri tume ya uchaguzi???ndo mana tunasema tume iwe huru, maana Nape na Kingwa wanahisi tume ni moja ya Departments za CCM ndo mana wanahisi wanapower ya kuropoka utumbo. Muda si mrefu itatafsiriwa kuwa wanalazimisha ushindi, tuishie kuwabatiza makofi. Jibwaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeee!!!!

Kweli mkuu,hawa jamaa wanaona Tume ya Uchaguzi ni kitengo tu ndani ya CCM. Hivyo hivyo na Taasisi kama Takukuru na Polisi. Matukio ya kihuni na ukihukaji wa taratibu za uchaguzi yasingefanyika kama wangekua wanajua wanaweza wajibishwa na taasisi zinazosimamia uchaguzi.
 
Hivi kama vyama vilikuwa na helkopta zinatua kila mahali walipotaka kufanya campaign kwa nini NEC washindwe kufuata hayo matokeo kwa njia hiyo hiyo?
 
Wa Jikoni kanipenyezea data mpya CDM wanaongoza tofauti ya kura 20,000 bado kata 3 ndio wanamalizia kuhesabu!

leo hii mbona wanalo...hizo kura wanahesabu kama wanamhesabia matonge ya ugali anayekula..
 
Leo ni siku ya pili tangu uchaguzi ufanyike hapo jana kwenye jimbo la igunga, tume imeshindwa kwani sababu zote zinazotolewa ni uzembe wa tume ya uchaguzi kutojipanga vizuri. sasa kama jimbo moja tu kutangaza matokeo inakuwa issue itakuwaje kwa uchaguzi mkuu? tume jipangeni bwana, igeni nchi nyingine zinafanya nini au zinatumia jitihada gani au maandalizi gani wanayafanya kutangaza matokeo mapema.
tambueni kwamba tume ya uchaguzi inapochelewa kutangaza matokeo mapema wananchi wanakosa imani na tume.some time vurugu zinazotokea kwa kuchelewa kutangaza matokeo zinasababishwa na ninyi wenyewe
.
Hesabu za Kujumlisha ni kitendawili kigumu wa magwiji wa tume
 
zittokabwe We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates
petition.
 
It looks CCM wameshinda! Fine, wameshinda lakini wameshindwa vibaya sana, kutoka uchaguzi wa mwaka jana inaonekana wameporomoka kwa zaidi ya kura 9,000, viashiria vinazidi kuonyesha kuwa CCM haikubariki! Ni ushindi mwembamba sana kwa chama tawala na kwa nafasi hii napenda kuwapongeza sana CHADEMA kwa mafanikio makubwa waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata nchini. CHADEMA tambueni kuwa tayari CCM wanauhakika kuwa mmekaribia kabisa kutwaa Dola na wanajaribu kila njia kuwadhoofisha. Now a way-forward, Fungua matawi ngazi zote za vijiji, kata, hadi wilayani, simika mizizi, hii nchi ni ya CHADEMA kwa sasa. Tunafurahia ushindi huu kwa CHADEMA kwa kuwa imejidhihirisha kuwa chama kina uwezo mkubwa wa kujieleza, kueleweka na sera safi. Ninasema tena Hongereni CHADEMA hamjachaguliwa ila mmeshinda! Ninyi ni washindi

Suala la matawi ni la kuwa nalo makini sana; KAFU wana matawi kila kona Tanzania Bara, hasa Kusini lakini unaweza kuona wanavyochemka.

Si wazo baya, lakini kama kuna njia nyengine ya kuwaondoa hawa mazimwi CCM , basi na itumike ipasavyo.

Kumbuka Chadema ni System Kamili.

Wanajua wanachofanya.
 
kwan dr slaa yupo wapi kutangaza naye yake?,ebwana kama noma na iwe noma hawa magamba wamezid ushenzi. Mi napatwa na hasira jaman CCM wanavyo2fanyia watz

Wala usipandishwe hasira na ccm, wanaotupandisha hasira ni hao wapiga kura wa vijijini, sijui ni lini watajafunguka akili na kujua kuwa wanadanganywa na ccm kila kukicha na bado wanawapigia kura! Yaani mtu sukari kilo 1 anauza kura yake kwa miaka!
 
''maharage yamekataa kuiva na sasa tumeamua kutumia magadi ili yaive''

hii ilikuwa ni sms ya Mwigulu jana saa tano usiku......
 
Kutoka kwa habari za uhakika kutoka kwa mawakala waliopo Igunga. Jumla ya kula za CHADEMA ni nyingi kuliko zile za CCM. NEC inasuasaua kutangaza Kashinde kashinda. Nape amesambaza matokeo ya uongo kuonyesha CCM imeshaanda. Watu bado wengi wakisubili matoke...LOLOTE LINAWEZA KUTOKA!!
 
Mara nyingi kama kunaucheleweshwaji wa makusudi kutangaza matokeo si si emu itakuwa imeshikwa pabaya
 
CUF ni Mdudu mbaya anayeishi kwenye nguo zetu, tulishaikataa CCM lakini baadhi yetu tunaivaa CUF. Hawa ndio hao hao wanaonyonya damu zetu na kuwapelekea CCM. Ni jambo la kusikitisha kwamba wamekubali kuwa kupe wasiofaidi damu wanayoinyonya wenyewe, mwelekeo ni kwamba hii ya Igunga haiwezekani CUF wakawa na kura chache kiasi hicho kulingana na ushindani ulivyokuwa. Kinachoonekana hapa CCM waliwatumia sana CUF ili kura zitakazoenda CUF zihamishiwe CCM baadaye, na ndicho kilichofanyika hapo Igunga. Mh. Mahona anapendwa sana tangu hata alipopambana na Rostam, CUF wametumia sana Chopa na haiwezekani vituo vingi CUF wapate kura 1, au 5, au 3... haileti picha. Hii inaonyesha pia Mahona wa CUF siku ya mwisho alipigana kwa kuelekezwa, na atakuwa ameahidiwa jambo ambalo tutaliona matokeo yake sio siku nyingi.

CUF ni Mdudu anayeishi kwenye nguo zetu na kutunyonya damu anayowapa CCM tuliowakataa, CUF ni shetani anayeishi kwenye nyumba zetu anayeiba mali zetu na kuwapelekea CCM tuliowakataa. Sio kificho tena kwamba CUF = CCM, it's official now. Tumkatate huyu Mdudu ama Shetani anayeishi kwenye nyumba zetu kama ndugu yetu kumbe anatunyonya kwa siri.
 
Inawsemekana CDM bado wanahakiki kabla hawajakubali ama kukataa matokeo

Kweli? sidhani! tusubiri tutajua tu ni kitu gani kilitokea lakini hii ni aibu kubwa sana kwa hili dude linaloitwa NEC
 
Haingii akilini kukubali kuwa mpaka hivi sasa tume ya taifa ya uchaguzi haijatangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mdogo huko ugunga. kwa sababu tu eti sheria inaruhusu kutangaza matokeo ndani ya saa 24.NEC mnahofia nini kutoa matoke yote ya jumla au ndio tukubali kuwa vichwa vinawauma kuzishusha asilimia za chadema ili CCM isioneka imechokwa na wananchi licha ya kile wanachokiita kujivua gamba!
 
wanaosema hesabu ni msiba wa kitaifa hajakosea,kama hesabu za kujumlisha tu tabu sasa za pai inakuaje,tume imethibitisha hesabu janga la kitaifa,MAGAYANE unajivunjia heshima ww pmj na chuo ulichosoma
 
''maharage yamekataa kuiva na sasa tumeamua kutumia magadi ili yaive'' hii ilikuwa ni sms ya Mwigulu jana saa tano usiku......
unauhakika?? inamaana wameanza kuona dalili za kushindwa na wameanza kuchakachua matokeo! Mavi yao na km hali ndio hy br mapanga yatembee
 
Back
Top Bottom