Habari za kinafik.
mnafiki ni wewe usiyejali uhai wa mwenzio!nani amekuambia utaishi milele?wewe na magamba wote mtalipa mbele za MUNGU!
Habari za kinafik.
Katika hali ya kutafuta suluhu kati ya wananchi, mgodi na polisi, kesho Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wassira amepanga kukutana na viongozi wa vijiji vya Kewanja, Nyangoto, Matongo, Genkuru, Nyamwaga, Nyakunguru na Kerende.
Baadhi ya viongozi wa vijiji hivyo walilithibitishia gazeti hili lakini wakasisistiza haki za wananchi lazima zipatikane.
Chanzo: Mwananchi
Habari za kinafik.
Habari za kinafik.
! Chama kinaenda kwa matukio! CDM Hopeless kabisa!
Kwa hiyo wewe watu kupoteza maisha sio tukio? Hivi unajua maana ya hope wewe? Hope is the belief in a positive outcome related to events and circumstances in one's life...its the hope that CHADEMA has for TANZANIANS
Chadema inakua karibu baada ya kuona watu wamekufa ndio timu yote ikahamia Tarime safari hii hadi Babu yenu Bepari Edwin Mtei alienda Tarime kuandaa maandamano! Mmezimwa vizuri sana Kimyaaa hakuna maandamno kama mlivyo taka! Chama kinaenda kwa matukio! CDM Hopeless kabisa![/QUOTE]
Ushindwe! Wewe ndiyo hopeless na CCM yako.
Kazi kuhudhuria kwenye misiba ya Mashehe tu.
Edwin Mtei anahusika vipi na taarifa rasmi ya serikali kuhusu mauaji hayo? Kipi kilitokea kwanza, mauaji au kuzimwa kabisa? Naona bado unashikilia swala la Chadema badala ya mauaji ya wananchi. Mbona una jazba namna hiyo, au huna jibu kuhusu swali langu? Naona umefanya hili jambo la kibinafsi. Kwa taarifa yangu mimi sio Chadema wala si mwanachama wa chama chochote, nimeuliza hapa kama Mtanzania yoyote ambaye ana uhuru wa kujiunga na chama chochote. Lakini kama nilikuwa na nia ya kujiunga na ccm tena (nilikuwa mwanachama hai wa ccm tangu 1977), sina hamu ya kujiunga nacho sasa kama washabiki wake wana mawazo kama yako!Chadema inakua karibu baada ya kuona watu wamekufa ndio timu yote ikahamia Tarime safari hii hadi Babu yenu Bepari Edwin Mtei alienda Tarime kuandaa maandamano! Mmezimwa vizuri sana Kimyaaa hakuna maandamno kama mlivyo taka! Chama kinaenda kwa matukio! CDM Hopeless kabisa!
hivi cdm suala la meya arusha limewashinda kabisa? Pamoja na watu wa tatu kufariki naona na madiwani wenu kususa naona mmeshindwa na kukubali yaishe! Eti maandamano ya mikoa ya kusini unaleta swaga ya kuwambia tunataka uchaguzi wa meya arusha urudiwe,watu wa mbeya,ruvuma na umeya arusha hakuna uhusiano kabisa! Sasa mlitaka mlete ujinga wenu tarime!? Serikali itoe tamko la nini sasa? Kuhusu hao wavamizi wa mgodi? Chadema maiti za watu sio dili ya kupata umaarufu wa kisiasa! Wajinga wakubwa mnafikiri kwa kutumia magoti
Chadema inakua karibu baada ya kuona watu wamekufa ndio timu yote ikahamia Tarime safari hii hadi Babu yenu Bepari Edwin Mtei alienda Tarime kuandaa maandamano! Mmezimwa vizuri sana Kimyaaa hakuna maandamno kama mlivyo taka! Chama kinaenda kwa matukio! CDM Hopeless kabisa!
Tumefahamishwa na vyombo vya habari kuwa hawakuwa wavamizi wa mgodi na serikali (polisi) ikatoa coffins na pesa za mazishi kwa wafiwa. (Leo nimesoma mahali kuwa polisi walilazimisha wazikwe kwa kutumia coffins hizo za polisi). Itakuwaje unabadili hapa na kutufanya kuwa walikuwa ni wavamizi wa mgodi? Hata hivyo, serikali haioni kwamba kuna haja ya kutoa tamko hapa, maana jambo hili limeongelewa sana hata kuvuka mipaka ya nchi na kuwa ni polisi walifanya mauaji hayo kwa wananchi? Kuna leo na kesho, angalia jana Mladic kakamatwa na si punde atafikishwa the Hague. Viongozi hawaoni hatari hiyo? Mwisho, mimi sio mwanachama wa Chadema, ni Mtanzania wa kawaida ambaye amestushwa na vitendo vinavyotokea. Nahisi sio mimi peke yangu.Hivi CDM suala la Meya Arusha limewashinda kabisa? Pamoja na watu wa tatu kufariki naona na madiwani wenu kususa naona mmeshindwa na kukubali yaishe! Eti maandamano ya mikoa ya kusini unaleta swaga ya kuwambia tunataka uchaguzi wa meya arusha urudiwe,watu wa mbeya,ruvuma na umeya Arusha hakuna uhusiano kabisa! Sasa mlitaka mlete ujinga wenu tarime!? Serikali itoe tamko la nini sasa? Kuhusu hao wavamizi wa mgodi? Chadema maiti za watu sio dili ya kupata umaarufu wa kisiasa! Wajinga wakubwa mnafikiri kwa kutumia magoti
Kaimbe taarabu wewe usitake kujifanya una akiri ya kufundisha watu hapa JF,kawafundishe viongozi wako wa Chadema
Hivi CDM suala la Meya Arusha limewashinda kabisa? Pamoja na watu wa tatu kufariki naona na madiwani wenu kususa naona mmeshindwa na kukubali yaishe! Eti maandamano ya mikoa ya kusini unaleta swaga ya kuwambia tunataka uchaguzi wa meya arusha urudiwe,watu wa mbeya,ruvuma na umeya Arusha hakuna uhusiano kabisa! Sasa mlitaka mlete ujinga wenu tarime!? Serikali itoe tamko la nini sasa? Kuhusu hao wavamizi wa mgodi? Chadema maiti za watu sio dili ya kupata umaarufu wa kisiasa! Wajinga wakubwa mnafikiri kwa kutumia magoti