Recent content by M Mahona

  1. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wakuu wa mikoa wanaofanya vizuri kuliko wengine

    Makonda lazima achukiwe tu hapa, anagusa channel za watu
  2. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Hayo ni mawazo yako tu, ume-conclude kulingana na mipaka ya akili yako, hapo lazima Magu atakuwa amegusa na kuziba maslahi yako. Magu is the best na aendelee kubana tu hivyo hivyo, jiwe la gizani hilo
  3. M Mahona

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli amwapisha Dr. Wilbrod Slaa kuwa Balozi Sweden na Muhidin Mboweto kwenda Nigeria

    Ubalozi ni kazi, na ni haki ya kila Mtanzania mwenye sifa za kuwakilisha, itikadi hazifai mtaweka itikadi mpaka kwa familia zenu. Kapata mwacheni ale shavu
  4. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Hii ni timu ya serikali, nani anabisha?

    Jeshi la Polic lilishajibinafsisha kwa vibaka, wavutabangi, machangudoa n.k
  5. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Huyo katangulizwa na Mr Presdent tu ili aone msimamo wa wa tz, lazima achomoke tu labda sio wanaharakati. Kila kiti wazi hapo, kama hakuna ualakini kwa nini hiyo hela isingekwenda kwenye shule za kata ambazo zina mapungufu kibao? Aache kutupandisha hasira ---- huyo
  6. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka Achunguzwe zaidi

    Nimeamini Tibaijuka ni mcharuko, anabisha hela ni ya halali kama kweli. Nadhani hata kwenye bed katakuwa kabishibishi tu!
  7. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Mkulu mwanao kuchele

    Creative sana, angemswaga asingefika haraka
  8. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Maumivu saba

    Number 1
  9. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Chid Benz katupia hii picha mtandaoni leo.

    Chidi acha ganja utakuwa chizi uanze kuokota makopo!
  10. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Kila shimo na utamu wake

    Jamani mi nilikuwa napita tu, sina la kuchangia
  11. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

    Huo ni upepo, angalia suruali ni nyepesi sana so imeinuka upande wa mbele
  12. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    Changa la macho hilo, hapo Watz mnaondolewa hasira za Escrow
  13. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Ikulu leo: Pinda awa kivutio kwa wasomi wa vyuo vikuu, wagombea kupiga nae picha

    Hebu tuambie mawazo yako mpaka ukaamua kutushirikisha hoja hiyo.
  14. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Protokali imezingatiw hapo jamani. EL ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na hapo ndio mahala pake. Na hata hivyo huyo ndiye rais wa 2015 iwe isiwe. Hapo hakuna kampeni huyo tayari anasubiriwa kuapishwa tu
  15. M Mahona

    JamiiForums Tanzania Mtoto analia sana nyakati za usiku

    Mwana JF ni kama walivyosema wadau, hiyo ni hali ya kawaida sana kwa watoto wachanga. Baada ya muda ataacha kulia ila itachukua si chini ya wiki tatu. Muombe Mungu pia kwani na wanadamu pepo hupitia humohumo. Hupenda sana kuchezea watoto
Back
Top Bottom