Anna Tibaijuka Achunguzwe zaidi

Anna Tibaijuka Achunguzwe zaidi

Zipo taarifa za uhakika kuwa wazazi wa watoto wanaosoma shuleni kwake wamepewa fomu maalum za kichangisha fedha za kuendeleza shule hiyo ambapo kila mmoja anayakiwa at least achangishe laki tano kwenye hiyo fomu !
 
utakua umepewa mgao wa escrow wewe endelea kutetea tu ila watanzania hawaezi kukuelewa mwizi ni.mwiz tu
 
Chuki binafsi zipi boya ww...huyu mama hana haja ya kufanyiwa uchunguzi sababu ameshatoa ukweli wa hizo pesa alizochukua..ni mwizi mkubwa sana..wapo wengine wengi ila bado hawajaulizwa hizo pesa zilikua za nini..
Take or leave it...lazima awe headline sababu ya maelezo yake ambayo anayatoa kwa social media.
Nilimwona mpumbavu sana huyu mama,nilipomsikiliza star tv jana asubui.aliposema watu mtaongea sana na mlikua mnaomba mvua iwanyeshee na haijawanyeshea nyinyi...kama waziri wa ardhi,ni sahihi alivyosema?

Hivi 1.6b so inatosha kuanzisha shule nyingine nzuri tu jaman
Madarasa 12@50ml=600ml
Maabara 3 @ 100. =300ml
Nyumba za walim 15 @ 40ml =600
JUMLA 1.5b
Na change inabaki mil 100
 
Inawezekana ufisadi hakuanza leo. Huwa najiuliza zile pesa alizokua anamwaga hovyo mdogo wake Alex Kajumulo zilikua zinatoka wapi maana inasemekana zilikua za huyu mama!..mama ni tajiri sana na utajiri wake unatatanisha sana japo wengi wataanza kumfahamu sasa. tutajua mengi ngoja tuone

Umbea tu huna hoja ya msingi
 
huyu mama amechanginyikiwa kabisa upinzani tunafurahi wezi wasipowajibika wenyewe na aliyewateua yupo kimya
 
huyu mama amechanginyikiwa kabisa upinzani tunafurahi wezi wasipowajibika wenyewe na aliyewateua yupo kimya

nimemwona hapo kwenye news..
kachanganyikiwa ati.
 
Nimeamini Tibaijuka ni mcharuko, anabisha hela ni ya halali kama kweli. Nadhani hata kwenye bed katakuwa kabishibishi tu!
 
Tibaijuka anavyozidi kung'ang'ania ofisi ya umma anazidi kuudhalilisha uprofesa wake. Kwani alizaliwa na uwaziri?
 
Tibaijuka anavyozidi kung'ang'ania ofisi ya umma anazidi kuudhalilisha uprofesa wake. Kwani alizaliwa na uwaziri?

isitoshe anazidi kukonda tu,
anaogopa kujiuzulu kwasababu anajua jela itamhusu..

kuna mtu aliwahi kushauri hawa wataalamu wasiingie kabisa kwenye Siasa.
 
Zipo taarifa za uhakika kuwa wazazi wa watoto wanaosoma shuleni kwake wamepewa fomu maalum za kichangisha fedha za kuendeleza shule hiyo ambapo kila mmoja anayakiwa at least achangishe laki tano kwenye hiyo fomu !

Siyo kweli,naomba usilete majungu hapa jamvini vinginevyo thibitisha kauli yako
 
Back
Top Bottom