Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,451
- 9,966
mibangi imemponza huyo dogo, angekuwa mbali sana lakini mibangi sana mademu sana mpira umeishia chini kwake. hana lolote hapo alipo hata stand united ya shinyanga haiwezi kumpokea.
Hivi ni nani huyo?
Hivi ni nani huyo?
Ah. Naona wanapenda kuuza sura...
...serikali iko wapi katika hiyo picha?
Hata wao wanahaki ya kuwa na ushabiki wa Timu waitakayo.