Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,191
Two + 2 =Two2,
2 + Mbili =MBILI2,
2 + 2 =2 2.
Hiyo hapo mwisho kwa lugha ya Werema ni tumbili (2 2).
Tiba
Two + 2 =Two2,
2 + Mbili =MBILI2,
2 + 2 =2 2.
Anauza Mkaa.......?......mbona mia tano zipo nyingi sana..........
hata mimi nimejiuliza swali hili hili, sijui huyu show zake analipwa bei gani, akili ndogo bhana yeye hapo anaona ameuza kwelikweli, usikute sababu ya stimu za ganja anaziona ni dola mia mia....
Inawezekana aliomba asaidie kuhesabu sadaka.