Kiufupi dada umejiharibia mwenyewe maisha ya ndoa. Kwa kujichora hayo matatoo umejipa hadhi ya malaya wa kupiga tu na kuondoka ingawaje kwa maneno yako wewe si wa hivyo. Hata mimi ningekuwa mumeo kila mara ningekuwa nikiona hiyo tatoo ya makalioni najiuliza huyo jamaa yako baada ya kumaliza...
Haya ya kutafuta vielelezo n.k alipaswa kuyafanya huko kesi ilipo. Mahakama inaposikiliza rufaa haipokei ushahidi mpya ambao haukutolewa kwenye mahakama ya chini.
Mgawanyo wa mali wakati wa talaka huzingatia contribution ya kila mmoja kwenye upatikanaji wa mali hiyo. Hilo ni suala la ushahidi. Hatujui ni kwa namna gani uliweza ku-prove hilo mahakamani.
Lakini kwa misingi ya haki, zile mali ulizochuma wewe mwenyewe kabla ya ndoa yenu hazipaswi hukusishwa...
Mali ni ya baba yako, sio yako wewe. Acha uvivu, fanya kazi na uachane na fikra za kimasikini hizo za kusubiri urithi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Salaam,
Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa...
Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye huu wimbo naomba anisaidie hapa pls.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.