taarifa sahihi
Client ni NFRA
wakandarasi wanatoka Poland ... na walitajwa kwenye sherehe ya ufunguzi kama uliangalia kwa umakini
TBA ni Project Manager wa mradi
Itakua vizuri tungepata na jibu alilopewa
Hizi ofisi za serikali nyingi hazifanyiwi maintenance services kwa hiyo huwa kwenye hali mbaya sana
Na watu wawe realistic ...8B kwa ofisi moja is unrealistic ...
Hiyo ni gharama ya kukarabati lile jengo .... ji kubwa na liko katika hali mbaya!
Wadau hivi hela na fines za parking wanazokusanya hii kampuni zinaenda wapi maana hamna maboresho yoyote ya parking lots wala barabara.
Naona wameanza uhuni mwingine wa kusema baadhi ya parking spaces zina watu.Wengine tukapaki wapi?
Pia wameanza kuvizia maeneo nje ya katikati ya mji ambayo...
kama hii ni kweli itakua mojawapo ya vichekesho vya.mwaka .... debate ya presidential aspirants ... wakati aliyetangaza nia ni mmoja tu hapo .... hii debate haitafanyika!
kuku wakubwa wa nyama wanauzwa maeneo ya kibamba, mzigo waweza shushwa popote mjini ... umri ni week 6 ....uzito ni kilo 1.5+ .... bei tshs 6,500/= kwa kuku mmoja
mwenye kuhitaji kununua anicheki kwenye 0682130334
1) Bei ya mafuta imekuwa ikiporomoka kwa kasi katika soko la dunia .. USA imefikia.mpaka wastani wa $800+ per litre toka $1600+ per litre ... je bei hii nayo imeshuka kwa kasi hiyo hiyo katika soko la tanzania?
2) Je, prof. Tibaijuka katoswa ili mwakani CCM wakisema ni zamu ya wanawake mama...
hapa sina comments maana sijui chanzo cha mawazo yako .... navyokumbuka ni kuwa mitambo ya IPTL ilikua inawashwa pale dharura zinapotokea kama vyanzo vingine kuwa na upungufu .... ndio maana ulikua ukisikia sana watu wakipiga deals za mafuta ili kusupply mitambo ya IPTL....kuendesha mitambo ya...
mimi nikasirike tena? .... wakati mimi ndio inaniboa maskendo yanavyofumuka moja baada ya jingine lakini rais haguswi kisa yeye mkuu wa nchi? .... anaongoza nchi gani ambayo hajui yanayoendelea ndani yake? ... USANII MTUPU!!
ungeongezea pia .... kwani hao wafadhili ni wajinga kiasi gani mpaka wasubiri kushinikizwa na gazeti la the guardian ....
wafadhili wanajua mchezo mzima .... reports zikiwa za kisanii na hatua zisipochukuliwa kwa wahusika halisi, hawatatoa fedha zao!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.