Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Ndio Mida mzuri kwa serikali kuichukua kabisa NA kuibadili itumie gas
Tatizo wezi wamekamatwa ,sasa ulaji umekuwa noma ,nani atawazuia wakati bado wananchi wanavutana na vibaka wala rushwa waibaji hela za wananchi ,hizo hasira za mkizi bila ya shaka yeyote ile kuna jizi limeishauri hiyo kampuni iondoke ili kutukomoa wananchi ,bahati vibatali bado sijavitupa ! Yoooooote haya sababu ni mijizi ya CCM.