Mimi naona haya mambo yanawatokea watu ambao hawako bizy sana yaan hawana kazi za kuwaza kwahyo muda mwingi wanautumia kuwaza vitu vya namna hiyo nataka nikwambie ndugu kama ungekuwa unamiliki kampuni au unaongoza taasis ya kukufanya kuwa bizy huwez kuwa illusion kias hicho kwahyo nakusihi...
Hakuna jambo lolote linaitwa maandamano litatokea hapa nchini hizo ni kelele za mitandaoni watu wa vijijini hawana habari na maandamano wako bizy na kazi zao all in all hatujafikia hatua hiyo nchi yetu ni zaidi ya hizo kelele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.