Recent content by Lyaku

  1. L

    Migodi hatarini kufungwa kufuatia agizo la Rais Magufuli

    Nimekuwa mfanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu kwa muda wa miaka 9 na ninachofikiri watu wanatoa mawazo yao hawaelewi nini kinaendelea pale.si vibaya tukieleweshana Bulyanhulu wanazalisha mchanga ambao unaitwa copper concentrate concentrate inajazwa kwenye contena za ft 20 na inasambazwa vizuri kwa...
  2. L

    NAPE: Rais Kikwete hashinikizwi kufanya maamuzi juu ya ESCROW

    Huyu NEPI nafikiri ana matatizo ya akili, mbona anapingana na kauli zake mwenyewe, kweli ccm imepoteza mwelekeo na inaishi kwa ujinga wa watanzania,ujinga wetu ndiyo mtaji wa ccm kwa sasa
  3. L

    Wanaomtetea Prof. Muhongo Sospeter 'Wanaangamia kwa kukosa maarifa'

    Tatizo letu watanzania njaa zinatusumbua tunadanganyika na vitu vidogo vidogo tu, leo hii ukiniambia majenereta yataozea stoo ni kama tunajidanganya kwani mgao ni kama unaendelea. kanga ,fulana na kofia ndiyo zinavyofanya watu wampigie debe. Profesa amemwaga hele sana mpaka kwenye vyombo vya...
  4. L

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    LE MUTUZI, baada ya watu kukimbia kwa ajili ya mizinga mwambie mzee akushike mkono
  5. L

    Shigongo: Sitagombea tena ubunge maisha yangu yote!

    There is no free lunch.... Hivyo yetu macho na masikio
  6. L

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Nimeamini kama kweli huyu jamaa ndiyo amepewa uongozi CCM basi kweli CCM ni janga la TAIFA, yaani mwigulu anacheza na maisha ya watanzania. ndiyo maana amemweka mwenzake aliyemwagiwa tindikali kama mtaji wake wa kisiasa kila anakokwenda anaye. MWIGULU shame on you
  7. L

    Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Naona wabunge wote wa sisim wanashangilia lakini chuki wanayoipandikiza ni mbaya sana, ni sawa na huu udini ambao hata mzee wa fastjet baada ya kuutatua naye analalamika. kuna siku historia itachukua mkondo wake
  8. L

    Nape Nnauye: Sheria ya vyama vya siasa nchini iangaliwe tena

    Nepi naona alikuwa anaongelea CDM muda wote baada ya kuongelea sera za sisim, kazi kwelikweli!
  9. L

    Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Nimefuatilia kwa makini sana maelezo yanayotolewa na Shoza pamoja na Mwampamba toka wafukuzwe CHADEMA na naingiwa na wasiwasi kwa vyombo vya usalama kufumbia macho, chuki inayopandikizwa na hawa jamaa ni hatari,tusingoje maswahibu yatukute ila vyombo vya usalama vinabidi kuchukua hatua mapema...
  10. L

    Msange JKT 823 KJ - Nimekwenda salama, nimerudi salama

    Hakuna kitu, nyie mlienda picnic hata mavazi yenu yalikkuwa tofauti na ya wenzenu harafu unasema ummejifunza uzalendo wakati tayari kulikuwa na madaraja.
  11. L

    Mh. Zitto Kabwe na Azan wamaliza mafunzo yao ya JKT kambi ya Mgambo 835KJ

    Kitu ambacho kimenishangaza ni kuona kwamba hawa waheshimiwa wote walikuwa na sare za rangi tofauti na wenzao kitu ambacho kilijenga utofauti na hii inaonyesha hata treatment zilikuwa ni tofauti
  12. L

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Huyo mtangazji ni hamnazo, hii inaonyesha ni jinsi gani watangazaji wetu wanavyokimbilia fani ambazo hawaziwezi.ushauri wangu wa bure huyu jamaa ajaribu kufuatilia watangazaji wenzake hata wa vyombo vya nje ili aweze kujiendeleza katika fani yake.Inaonekana huyu jamaa alipata kazi wakati wa...
  13. L

    Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

    Inaonekana bado ujakutana na mkono wa sweta siku ya kuja kukutana nao ndiyo naomba uweke comment yako hiyo, mimi naona utaendelea kuwatafuta hao wenye mikno ya swetw
  14. L

    Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

    Mheshimiwa Zito iwapo utakubaliana na ombi hilo huo utakuwa mwisho wako kisiasa
  15. L

    Naomba ufafanuzi juu ya mkopo aliochukua(?) Dr.Slaa kutoka kwenye akaunti ya CHADEMA

    Hoja bado iko mezani lakini haina mshiko mkubwa hizo ni propaganda za upande wa pili wa shilingi
Back
Top Bottom