Shigongo: Sitagombea tena ubunge maisha yangu yote!

mkurugenzi mtendaji wa Global Publisher Ndg Erick Shigongo amesema katika maisha yake yote yaliyobaki hapa Duniani Atagombea tena Ubunge ameyasema hayo wakati akikabidhi msaada wa Gari la Wagonjwa Huko Sengerema amesema kuwasaidia watu sio lazima uwe Mbunge ndipo uweze kutoa msaada yeye ajatoa msaada wa gari kwa nia ya kugombea ubunge bali ni moyo wa kutoa hivyo ajatoa kwa nia ya kuwa mbunge.

N.B JE MH E.LOWASA NAYE ANATOA MISAADA LAKINI HANA MPANGO WA KUWANIA URAISI?????
Itafika mahala tuanze kuulizana makabila jf soma ulichoandika mkuu kichwa cha habari ni tofauti na uliyoandika ndani au unamatatizo ya H?.
 
haya ni matokeo ya rasimu ya II ya katiba... mbunge hatakuwa waziri ... big up mzee warioba
 
mkurugenzi mtendaji wa Global Publisher Ndg Erick Shigongo amesema katika maisha yake yote yaliyobaki hapa Duniani Atagombea tena Ubunge ameyasema hayo wakati akikabidhi msaada wa Gari la Wagonjwa Huko Sengerema amesema kuwasaidia watu sio lazima uwe Mbunge ndipo uweze kutoa msaada yeye ajatoa msaada wa gari kwa nia ya kugombea ubunge bali ni moyo wa kutoa hivyo ajatoa kwa nia ya kuwa mbunge.

N.B JE MH E.LOWASA NAYE ANATOA MISAADA LAKINI HANA MPANGO WA KUWANIA URAISI?????

Anagombea au hagombei? Heading na content vinakinzana
 
Shigongo namkubali sana.
Mnaomuonea wivu mumewahi kufanya nini?
 
There is no free lunch.... Hivyo yetu macho na masikio
mkurugenzi mtendaji wa Global Publisher Ndg Erick Shigongo amesema katika maisha yake yote yaliyobaki hapa Duniani Atagombea tena Ubunge ameyasema hayo wakati akikabidhi msaada wa Gari la Wagonjwa Huko Sengerema amesema kuwasaidia watu sio lazima uwe Mbunge ndipo uweze kutoa msaada yeye ajatoa msaada wa gari kwa nia ya kugombea ubunge bali ni moyo wa kutoa hivyo ajatoa kwa nia ya kuwa mbunge.

N.B JE MH E.LOWASA NAYE ANATOA MISAADA LAKINI HANA MPANGO WA KUWANIA URAISI?????
 
mkurugenzi mtendaji wa Global Publisher Ndg Erick Shigongo amesema katika maisha yake yote yaliyobaki hapa Duniani Atagombea tena Ubunge ameyasema hayo wakati akikabidhi msaada wa Gari la Wagonjwa Huko Sengerema amesema kuwasaidia watu sio lazima uwe Mbunge ndipo uweze kutoa msaada yeye ajatoa msaada wa gari kwa nia ya kugombea ubunge bali ni moyo wa kutoa hivyo ajatoa kwa nia ya kuwa mbunge.

N.B JE MH E.LOWASA NAYE ANATOA MISAADA LAKINI HANA MPANGO WA KUWANIA URAISI?????

Anakwepa tu huyo kuliwa na kanuni za CCM Shigongo hawezi kuacha kugombea ubunge wa Jimbo la Buchosa,ni mtu anayekubalika sana huko na alishindwa kwa sbb tu alikuwa bado hajui rafu za siasa!
 
Kiswahili sahihi ni "hatagombea" na si "atagombea" hizi ni maana mbili, tofauti wahitimu wa sasa mbona ha na a inawasumbua sana???

Kweli bwana hatw mimi amenichanganya sikuelewa maada yake. Huyu ni mhamiajia haramu aliyebaki nini.mbona kiswahil taabu
 
SHIGONGO ACHA UONGO BHANA ! Wewe hujawahi kugombea ubunge , NINACHOKUMBUKA NI KWAMBA ULIWAHI KUHANGAIKA HANGAIKA KWENYE KURA ZA MAONI ZA CCM TU .
 
Kiswahili sahihi ni "hatagombea" na si "atagombea" hizi ni maana mbili, tofauti wahitimu wa sasa mbona ha na a inawasumbua sana???

Hatari sana hizi lugha mtu anareport; "atagombea" kumbe anamaanisha "hatagombea"
 
Kweli bwana hatw mimi amenichanganya sikuelewa maada yake. Huyu ni mhamiajia haramu aliyebaki nini.mbona kiswahil taabu

mkuu ulisoma kwanza ulichokiandika kabla ya kupost au umekurupuka tu?!
 
Back
Top Bottom