Yapo mambo ambayo yatakwamisha malengo ama mpango , hii MICHEZO YA BAHATI NA SIBU kwangu mimi napambana kuifuta akilini kwa sababu leo unabeti 50000 halaf kwenye betslip yako moja inatokea 0 0 ambayo haikutegemeka ndugu zangu kwangu bahati na sibu nawaachia wenzangu
OYA mzee 2pige chenga hii ni michezo ya kubahatisha anayetaka acheze asiyetaka aache MWISHO tuhurumieni vijana yaani nikicheza buku5 ikiliwa kesho naweka nyingine poleni sana yaliyowapata kama yangu
BAHATI NA SIBU MNAKULA HELA ZETU
OYA mkileta kitu muandike faida zake na hasara zake na mwisho wa kucheza ukishafikisha kiasi fulani uache na siyo kuacha tu mumfungie hata akauti yake ya hiyo kampuni
Yaan mtu anaacha kunywa soda ya 500 anawatumia 1000 rusha pata ama funua box na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.