Duuh!! Huu moto sasa unatshia kwenye shule za bweni. Mbona siku zinavyozidi kwenda na kasi ya moto inazidi kuongezeka. Hatuna budi kumuomba Allah atuepueshe na haya majanga ya moto.
Kwa kweli kuna mdada mmoja nilikaa nae siti moja alikuwa anatapika hasa akila kitu. Ila cha ajabu kila kitu akiona kwenye gari ananunua na akila anatapika. Yaani alinikera sana yule mdada siku ile.
Mwambie kuwa malipo ni hapa hapa duniani analofanya yeye kwa mtoto huyo, ajue nae mtoto wake atakuja kufanyiwa tu. Pia wadada Kama unajijua una roho mbaya usiolewe Bora uwe unadanga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.