Recent content by Lwasu

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

    Umetumia law of attraction yaani ukitaka kupendwa jipende kwanza wewe mwenyewe!!
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

    KAWE KAKE KANGU!!!
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hisia mbili zinazowatesa sana wanaume

    Wewe ni mwanaume au Mvulana??
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sababu ni Nini simu za Tecno kunangwa

    Kuna brand fulani ya Tecno naskia ina camera moja lakini kwa nyuma wameweka maduara 3 ili ionekane kama i phone kwa hiyo kuna asili fulani ya utapeli kwenye simu za tecno!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha Oktoba

    Mtoa mada unaweza ukatoa data ni wanachama wangapi wa CDM walipoteza maisha? Maana walituambia wale sio raia wa TZ, Kiongozi mmoja alisema ile AI!!!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

    Una amka asubuhi ghafla unatumiwa sms na tume eti toa ushahidi wa matukio yaliyotokea oct inatia uchungu sana!!!
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

    Hilo ndo tatizo wanauliza unaoa lini wakati hata hali yako ya kiuchumi hawaijui!!!
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

    Hata usiwaskilize maoni yao, wewe ndo muoaji kwa hiyo una haki ya kuchagua bidhaa unayoitaka !!!
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama ulikuwa mbali na mkeo, katika kipindi hiki cha likizo fanya hivi

    Gen Z wameshajua kwamba marriage is scam sijui kizazi kinachokuja kitakuaje!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia bado angali hai

    Ni ukweli unaouma kwa kweli nawashauri mkatoe kwa watoto yatima ili ku boost energy yenu!!!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Mashabiki ndio mmenifanya nichore tattoo mwili mzima, na kubandika vipini kwenye pua

    Na sisi ndo tumemfanya abuni style ya kuongea ha ha ha nachoka mjomba yenu wa Namtumbo!!!
  12. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Saaana ndugu yangu ilikua ukienda kuchukua nae form ya kugombea nafasi yake huchukui round futi 6 kwenye moyo wa ardhi tunakufukia hana utani huyu mtu anyway........R.I.P
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huoni kuwa unanionea bure

    Elon Musk hajaoa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

    Mwanamke umeanza maneno yako, muda ndio hakimu wa kweli!!
Back
Top Bottom