Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

Wanawake wameweza ku maintain standard zao katika kuchagua nani wa kuwa naye. Nafkiri nature nayo inachangia, mwanamke mara nyingi ndo anafuatwa na mwanaume kwahiyo anakua ana room ya kuweka standard anayoitaka, Kwa upande wa wanaume wengi papara na tamaa ndo zimewafikisha kwenye kushusha standard za aina ya mwanamke wanaomtaka.

Kwa upande mwingine wanaume wachache ambao wako makini kwenye kufanya uchaguzi wa mwanamke wanayemtaka wanajikuta katika hali ya ngumu kwa jamii zao, coz kuna kundi kubwa wanaume ambalo limeshakubaliana na products zilizo sokoni (used) mwendo ni kusagula sagula tuu, ukionekana unakosoa sana na wao wanakukosoa na kukufanya ujione kama vile wewe ndo mwenye matatizo
20251228_080457.jpg

You deserve this with one crate of beer 🫡
 
Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili.

Mwanaume akiongea yale anayoyata kutoka kwa mwanamke, wanawake wengi wanatibuka nyongo. Kwanini? Kwa sababu hawana hivyo vigezo, hawaelewi mantiki ya mwanaume au wanaelewa lakini maelezo yamewapiga kwenye mshono

Mwanaume anaweza akasema anataka mwanamke atakaempa amani. Ni preference ambayo haina ubaya wala madhara lakini wanawake wataibuka na mashambulizi utasikia "anasema hivyo ili akichepuka mkewe asiongee chochote"

Mwanaume anaweza kusema anataka mwanamke bikira. Wanawake watakua wakali utasikia maswali "mama ako aliolewa akiwa bikira", "dada zako bikira?" n.k

Mwanaune anaweza kusema napendelea mwanamke mwenye umri mdogo(19-23). Wasimbe watakua wakali kweli kweli hapo kama vile wao hawajawahi kuwa na huo umri.

Hata mwanaume ukija na hoja za body count, asset vs liability, purity n.k tarajia kupata mashambulizi makali sana kutoka kwa wanawake. Men can't say what they want without women being arguing from their traumas.

Wanawake waelewe kama ambavyo mwanamke asiekua na hela anaweza kusema kwa kujiamini kabisa kwamba anataka mwanaume mwenye hela na akaeleweka, mwanaume pia ana haki ya kusema anataka young woman, bikira, feminine n.k na aeleweke pia.

If you can have a choice as a woman, why won't men. It's not hatred, it's preferences.
Kaka umeoa bikra hongera saana mwenyekiti
 
Verified, big up mkuu
 
Mmewafundisha mabinti na wadogo zenu wa kike mambo wanayostahili kuyapata kutoka kwa mwanaume lakini hamjawafundisha kwamba mahitaji ya mwanaume pia yanatakiwa kuzingatiwa, ndjo hapo sasa mwanaume nae akitaja preferences zake anaonekana ana chuki
Sidhani
 
Back
Top Bottom