Mnhh!!Atakufa tu.Bado kidogo tu .Soon itakuwa on target
Yah alikuwa anatupa michango mingiHayaland mbona ni mtu mwema na mzurii sana kwenye kuchambua mada na kushaurii..
😁Sema Huwa anaupigaga mwingi na kukabia kwa juu..na mashutii zaidiii ya Wayne Rooney..
Angalizo: Kuna muda watu waliwai nishambulia na kusema pia hii ni ID's yake wapo member ambao tuna contact nao through phones wakanitetea👿👿👿
Lucas Mwashambwa amenituma nikutume ukaulize kwa iziraili ya kwamba hata lini iziraili atajitwalia roho wa samia suluhu?Ndugu zangu wa JF, natumaini mko wazima wa afya.
Leo Mheshimiwa Rais ameonekana kuwa mzima. Kwa wale ambao walijipanga, walijiandaa au walitunza pesa kwa ajili ya kulewa na kuumwagilia moyo juu ya kifo cha Rais, poleni sana, kwa maana njia za Mungu siyo za binadamu.
Msife moyo. Nina ushauri juu ya hizo pesa; mnaweza kuzitumia kwa namna nyingine, kwa mfano:
La mwisho,
- Kuchangia yatima,
- Kuongeza mitaji, ikiwa mitaji ni midogo,
- Kuwatuma wazazi ili wafurahike msimu huu wa sikukuu,
- Kuwasaidia maskini ikifaa,
- Na shughuli nyingine zinazofaa au zinazompendeza Mungu.
Tuombeane mwisho mwema, ndugu na dada zangu, kwa maana sisi sote ni wasafiri katika ulimwengu huu.
Mwambie hakuna anayejua mipango ya Mungu,. Ila tumefundishwa kuombeana kheri.Lucas Mwashambwa amenituma nikutume ukaulize kwa iziraili ya kwamba hata lini iziraili atajitwalia roho wa samia suluhu?
Nani alikwambia watu kufa au kutokufa ni mipango ya munguMwambie hakuna anayejua mipango ya Mungu,. Ila tumefundishwa kuombeana kheri.
Light field display3D yake
Una maana huyu muuaji ataishi milele yote? Kifo hakiepukiki hata wewe utakufa na mimi pia nitakufaNdugu zangu wa JF, natumaini mko wazima wa afya.
Leo Mheshimiwa Rais ameonekana kuwa mzima. Kwa wale ambao walijipanga, walijiandaa au walitunza pesa kwa ajili ya kulewa na kuumwagilia moyo juu ya kifo cha Rais, poleni sana, kwa maana njia za Mungu siyo za binadamu.
Msife moyo. Nina ushauri juu ya hizo pesa; mnaweza kuzitumia kwa namna nyingine, kwa mfano:
La mwisho,
- Kuchangia yatima,
- Kuongeza mitaji, ikiwa mitaji ni midogo,
- Kuwatuma wazazi ili wafurahike msimu huu wa sikukuu,
- Kuwasaidia maskini ikifaa,
- Na shughuli nyingine zinazofaa au zinazompendeza Mungu.
Tuombeane mwisho mwema, ndugu na dada zangu, kwa maana sisi sote ni wasafiri katika ulimwengu huu.
Alisema kifo ni kifo tuAtakufa na wewe utakufa.
Waislamu wana Msemo wao Japo sikubaliani nao.
Kila Nafsi itaonja Mauti.
ATAKUFA MSHENZI MUUAJI YULE.
SOON
Pamoja na vijana wangu potezwa 29 Oct uyu mama simwombei kifo namwombea ajiuzuru maana ana watoto na wajukuu ,sie ndio tumepoteza, hakuna chochote naweza kulipwa mbadala wa vijana wangu, naweweseka kila mda , kila nikiangalia picha zao siamini Mungu nipe ujasiri mpya .Ndugu zangu wa JF, natumaini mko wazima wa afya.
Leo Mheshimiwa Rais ameonekana kuwa mzima. Kwa wale ambao walijipanga, walijiandaa au walitunza pesa kwa ajili ya kulewa na kuumwagilia moyo juu ya kifo cha Rais, poleni sana, kwa maana njia za Mungu siyo za binadamu.
Msife moyo. Nina ushauri juu ya hizo pesa; mnaweza kuzitumia kwa namna nyingine, kwa mfano:
La mwisho,
- Kuchangia yatima,
- Kuongeza mitaji, ikiwa mitaji ni midogo,
- Kuwatuma wazazi ili wafurahike msimu huu wa sikukuu,
- Kuwasaidia maskini ikifaa,
- Na shughuli nyingine zinazofaa au zinazompende oza Mungu.
O
Tuombeane mwisho mwema, ndugu na dada zangu, kwa maana sisi sote ni wasafiri katika ulimwengu huu.
Vip kuhusu kuua? Maana auae kwa upanga nayeye atakufa kwa upanga. Usisahau ndugu zetu kwa maelfu damu zao zimemwagwa kwa sababu ya tamaa za mtu mmojaKufa tunakufa ni neno la mungu lakini sio vizuri kuombeana kufa.
Wewe ndiyo bwege, ulishindwa kuwaongoza vijana wako mpaka wakaingia mkenge wa maandamano ya MangeKimambi na Maria SarungiPamoja na vijana wangu potezwa 29 Oct uyu mama simwombei kifo namwombea ajiuzuru maana ana watoto na wajukuu ,sie ndio tumepoteza, hakuna chochote naweza kulipwa mbadala wa vijana wangu, naweweseka kila mda , kila nikiangalia picha zao siamini Mungu nipe ujasiri mpya .
Kwamba nimewatunza vijana wangu alafu wamekufa kijinga tu, why ujaanza nitanguliza mie Mungu wangu