Recent content by lwangwa

  1. L

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Anapozungumzia uhuru upi maana uhuru nulianza kudaiwa tangu enzi na enzi za mababu ,sasa akisema nwatu wa gerezani walikuwa na mchangho mkubwa katika harakatai mza kudai uhuru wa tanfganyika ,anawasahao wapi waliokuwa wanapinga uvamizi wa mipaka yetu ,anawasahau waliopinga kunyang'anywa ardhi...
  2. L

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Alipanda ngazi hadi kuwa kiongozi mkuu wa taifa la Libya ,ambapo alitwa madaraka kwa mapinduzi ,wahenga wanasema akimbizae upanga akiwa uameuning'iniza hewani huanguka na kumchoma mwenyewe .Gaddafi amedhalilika heshima imepotea amefanananishwa na kifo cha mzoga wa mbweha ,haya yanakuja...
  3. L

    Waziri Ngeleja Akabidhi Sasa Funguo Za Ofisi Ya Serikali

    Ngeleja anapaswa kujiuzuru ,na ninatarajia wabunge watakuwa makini katika hili nilazima ngereja ajiuzuru na wafuasi wake haiwezekani yeye na naibu wake washindwe kubaini uovu huo .pia atambua kuwa kitendo cha waziri mkuu kusimama mwenyewe kuondoa hoja niishara kwamba ngeleja hana nafasi tena na...
  4. L

    Kulikuwa na jaribio la kumdhuru Dr. Slaa?

    i vizuri kuwa na akili tulivu unapo soma kitu ,kielewe kwanza kuliko kukimbilia kujibu ukiwa hujaelewa vuta pumzi ,taarifa hizo zimedai kuwa hazijathibitishwa sasa ukitaka data tunaendelea kutafuta data ,tunajua hapa sio kijiwe cha kahawa tunafahamu kuwa hapa ni mahali pa fikra pevu ambapo...
  5. L

    Kulikuwa na jaribio la kumdhuru Dr. Slaa?

    Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china...
  6. L

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    Nasema hongera chadema kwa kupokea hizo fedha maana katika fedha hizo tunaonja matunda ya kudai uhuru kwa mijitu mieusi uhuru wa pili baada ya ule wa wakoloni ,huyo ngwaiya ni malaya wa siasa ameolewa na bwanake sisiemu .tumempuuza hanamaana hizo habari alipaswa kumwambia mjukuu wake ama nyenya...
  7. L

    Mzigo wa madeni ni hatari kwa taifa

    Mungu atunusuru na balaa hili ,natamani siku moja nishike dola kama Rais wa nchi hii ni wabomoe wote wawe vibogoyo maana meno yao yanawashawishi kufanya ufisadi fedha hizo zinakopwa kwa ajili ya vimada na watoto zao
  8. L

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Let taarifa sahihi za ukweli kumbukeni hapa si mahala pamchezo kama unaleta taarifa za kupotosha sio tabia ya watu makini na wazalendo kwa taifa na maisha yake yaliobakia mbele yake .nauliza tena Lowassa ametoswa
  9. L

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    Wazalendo watanzania kumbukeni kuwa ziko njia tatu za kudai haki ,haki hailetwi kwenye chombo ni lazima watu tujitokeze kudai kwa njia yoyote kufa kwa ajili ya wengine. njia za kudai haki nikukaa kwenye meza ya mazungumzo na kuridhiana pande zinazo hasimiana . Ikishindikana njia hiyo basi...
  10. L

    "Ticha" Yusuph Makamba amjibu Sumaye

    Mh sumaye alipokuwa waziri mkuu wakati wa utawala wa ben mkapa alisifika kuitwa mr ziro,lakina sasa huyu ni mr brilliant, kauli ya jana ni ukweli mtupu amewachana na wamechanika. Tatizo lake sumaye ni mwanachama wa ccm sisi wananchi tunamshauri kwa nia njema ahame chama hicho hakina afya njema...
  11. L

    Akaunti za mafisadi BoT zagundulika

    Kwanza pole kwa kazi uliyoifanya kukusanya taarifa ,lakini bado umetuacha njia panda hatuelewi ni kiasi gani cha fedha kimekwapuliwa katika akauti ya EPA na kila akauti ya kila fisadi ina kiasi gani cha fedha mafisadi hao ni akinani jaribu kuwa muwazi.ukifafanua haya yatasaidia watu wafanye...
  12. L

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    uvccm ni malaya wa ufisadi ,wameolewa na mafisadi wapo kwa ajili ya Rostam na Lowassa ,hawanafikra wamekufa kifikra ni mjumbe pekee wa arusha wa baraza la umoja huo anayestahili sifa gumbo aliyeitaka meza impelekee salam JK
  13. L

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Mtu yeyote mwenye akili timuma anatambua hilo kwa kikwete ameshindwa kuongoza nchi watanzania tunajiongoza .yeye alikimbilia ikulu kwenda kuuza sura kama vascodagama mpelelezi wa kireno
  14. L

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Rostam nilisha waambia huyu mtu ni jasusi
  15. L

    Pinda anavyofuta nyayo za CHADEMA Kagera

    Pinda hana jipya tumemuzoea ni kama mtu anayepiga jalamba ,uwezo wake mdogo ,kila kukicha amekuwa akiapa kufanya mazuri lakini ndiye anayeongoza mafisadi kuwa tetea hatumsikilizi sisi tuko tayari kufa anaongea na hao wazee vikongwe uwezo wao wakufikiri umekwisha kwanini asiongee na vijana wampe...
Back
Top Bottom