"Ticha" Yusuph Makamba amjibu Sumaye

"Ticha" Yusuph Makamba amjibu Sumaye

mimi sikumwelewa shigela hata kidogo,kwanza ameongea kwa kupanic ajabu,utafikiri kalazimishwa!,kama hao ndiyo viongozi wa umoja wa vijana basi ni makopo kabisa,ningependa kujua elimu yake kwani maongezi yake hayana tofauti na makamba!,yaani anaongea kwa kuropoka!naomba kujua hivi ni makosa kukopa?ni dhambi kuwa na mashamba?,kwa kumbukumbu zangu sumaye aliwai kutuhumiwa akaenda mahakamani mwenyewe kufungua kesi na alishinda,naomba leo lowasa na swahiba wake rostam waende mahakamani wakajisafishe!!!!!!!!!!!!
Hivi Shigela ana umri gani kujibizana na mzee Sumaye, tena alitinga mkutanoni na mtoto wake Filbert. Nahisi kama Shigela kachakachua umri vile kwa jinsi alivyokomaa sura. Ila still haimpi uhalali wa kujibizana na mtu aliyeingia CCM toka wakati TANU youth league wakati yeye shigela kaingia kwa kufuata mkumbo na kutafuta maslahi. Hata iweja au iwe mwisho wa dunia Shigela hawezi kuijua CCM kama Sumaye, regardless of the FISADI behind him
 
Wapi Nyerereism?! Ukisikia bila kuona unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Hawa vijana ni vilaza, mazuzu na weupe kweli. Staili wanayotumia ni ile ya popo kumyea mungu. HATARI. Kanuni za ajabu kweli katika kujibu hoja tena wao kwa wao! Chama chochote lazima kiwe na dira,hivi hawa dira yao ni mipasho? Ndo walivyotumwa na wananchi? Naamini pasi na shaka,dhambi imekomaa na sasa ni MAUTI.
 
kumbe yule ndo shigela?

jamaa alikuwa anazungumza kama amewehuka.
Afu Dogo Carolite imekubali ile mbaya"Sharobaro" anatakiwa akacheze kiduku siasa hajui wala haiwezi au kama vipi ajiunge Saloon kufanyia watu Masaji ndo kazi za Masharobaro Meeen.
 
ukiona samali wakikaangana kaa mkao wa kula- mzee mwanakijiji jf member
 
Mwenye macho haambiwi "tazama" kwani UVCCM tuliowatazamia kutupatia viongozi wa "kesho" wanaonyesha dalili mbaya kabla hata ya kukabidhiwa mikoba.

Wanazungumzia kuisubiri zamu yao ya kula washibe kama walivyokula wazee wao (Kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete, wezi wenzao, vibaka na mafisadi walioinyonya na kuisulubu nchi kiuchumi.

Hawa ni zao la mafisadi, vibakauchumi na wachumia tumbo waliosheheni ndani ya CCM wasio na chembe ya uzalendo. Ndiyo kina Ridhwani, Makamba Jr. na wengine kibao wenye matarajio ya kukabidhiwa mikoba ya uongozi na kuyaendeleza "Mema" ya chama chao. Wanapaswa kuepukwa kama ukoma.
 
and ppl end up voting for CCM, kweli aliyetuloga alishakufa,
 
Unajua siasa ni mchezo wa kujipanga katika kila nyanja (kauli, maamuzi, matendn nk) sasa inaonekana hawa jamaa wamejisahau na mkuu kalala!

Mkuu ni boya zaidi! Waache makoko wakulane wenyewe wamalzane then tukzidiwa na makelele yao dawa yao ni kuchukua mawe! Tuyavurumushe, haoooooo! Big up sumaye, carry on! Sijui CDM tunajpangaje kuchukua dola soon coz vibaka wa nchi karibu watahukumiwa na umma!
 
Hii tabia ya kila mtu kusema, ngoja tuone mwisho wake. vita vya panzi furaha kwa kunguru
 
acha tuwazungumze ili wazidi kujisahau zaidd ili cdm tuchukue point za cheeeee! pale tutakapo anza kuzungumzia maendeleo wao wanarumbana.
 
Aaaaah haya sasa wenyewe kwa wenyewe wanamalizana, time will tell! Chama kinaenda ahela 2015 CCM mtaisoma namba!
 
Huyu Shigela ndo bomu kuliko hata Ticha Makamba. Kwa umri mdogo alionao anaongea pumba sawa na Makamba, vipi akifika umri wa huyu mgosi?? Nadhani wakati huo hata ukimuuliza jina lake atakuambia tusibiri kikao cha Halmashauri kuu.

Anahoji Mh Sumaye kukopa mil 50!!! Hashangai mafisadi kujilipa mil 152 kila siku kupitia mikataba mibovu ya umeme. Kwa rank ya Mh Sumaye kukopa hizo pesa ni kawaida mno. Tena anaweka wazi kwamba alikopa, which means anakatwa, what is the issue here?? Kukopa ni dhambi!!??

Shigella, usiendekeze umaskini wako. Kila mtu ana shida, lakini za kwako umezibebea kwenye SINIA hata mwehu anajua una shida. Wenzako wenye akili shida zao wanabebea kwenye MFUKO, mpaka akuonyeshe ndo ujue ana shida. Tumejuaje kwamba kinachokusumbua ni njaa!!??
 
Sasa nimeanza kuona kwamba hakuna tena anayeweza kuikoa ccm

Imani ya Chama
  • Binadamu wote ni Sawa
  • Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
  • Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Jamani hayo hapo juu, Malisa, Bashe, Makamba, NK ndio kweli mnayoyasimamia. Mbona mmefilisika kifikra kiasi hicho. Kimsingi sisiem ni msukule, inahitaji kufufuliwa, Yaani imeshakufa kabisa, ipo kuzimu. Subirini muone

Naomba pitia kipengele kimoja kimoja hapo juu, Naomba:gossip:

CCM Imeishakufa. Hawa wanaojiita CCM sio wenyewe.
 
kuna dogo mwingine ameonekana ITV akimchambua Sumaye kwa hoja zisizokuwa na uthibitisho. Yaani alikuwa anafanya mipasho zaidi na alikuwa anaonekana amepaniki kwelikweli.

dogo anaona ni dhambi sumaye kuchota 50, 000, 000 (hakuna ushahidi though), lakini anasahau kuwa mafisadi wanaowapigia debe walikuwa wanalipwa 152, 000, 000 kwa siku.

CCM kinakufa jamani. Kinajiuwa chenyewe.

I hope hizo M152/Day zina uthibitisho...
 
Sasa nimeanza kuona kwamba hakuna tena anayeweza kuikoa ccm

Imani ya Chama
  • Binadamu wote ni Sawa
  • Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
  • Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Jamani hayo hapo juu, Malisa, Bashe, Makamba, NK ndio kweli mnayoyasimamia. Mbona mmefilisika kifikra kiasi hicho. Kimsingi sisiem ni msukule, inahitaji kufufuliwa, Yaani imeshakufa kabisa, ipo kuzimu. Subirini muone

Naomba pitia kipengele kimoja kimoja hapo juu, Naomba:gossip:

CCM Imeishakufa. Hawa wanaojiita CCM sio wenyewe.

Likewise kwa mtu anayeshabikia hata upumbavu wa vyama, amekufa labda wewe si mmoja wao. Mtu akileta hoja isiyokufurahisha then tumia hoja yenye nguvu zaidi ili hata umuelewesha na kushawishi wengine. Ndugu usilazimishe kuwa kila asiyesapoti pumba ni msisiem eti kama pumba ni za Chadema. Kuna watu wako huru humu, hawashabikii vyama. Na pengine hao ndiyo great thinkers, be one of them!
 
Mh sumaye alipokuwa waziri mkuu wakati wa utawala wa ben mkapa alisifika kuitwa mr ziro,lakina sasa huyu ni mr brilliant, kauli ya jana ni ukweli mtupu amewachana na wamechanika. Tatizo lake sumaye ni mwanachama wa ccm sisi wananchi tunamshauri kwa nia njema ahame chama hicho hakina afya njema ni mahututi.wakati chadema kina siha njema na viongozi makini wenye akili ya kuzaliwa
 
Back
Top Bottom