Hata watu waliohusika na jaribio hilo la kumvamia na kumpiga risasi, nao wanaweza kuja humu JF ku comment kuwa mfanyabiashara Mathias Manga amepigwa risasi. ili wajue watu wanasemaje! lkn tunawahakikishia kwamba watajulikana na mbele ya mungu...
Mecky Sadick Amewakosea na anatakiwa kuwaomba Radhi waathirika wa Mafuriko wa jiji la Dar es salaam, kutokana na kitendo chake cha kuwanyanyapaa kwa kuona mvua zilizonyesha ni sahihi kuwaathiri, ili wale wanaoishi mabondeni, waweze kuhama. yeye...
Shida yenu kubwa ni ATM mobile, wakati mwingine unatoa hela yako toka bank kwenda m pesa, unakuta kwenye account imeshatoka, na kwenye m pesa haionekani. kama basi tatizo ni Network, inakuaje muda mwingine Inaisha zaidi ya wiki bila tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.