Kama si Bunge la Katiba, Samweli Sitta angekuwa Rais

Kama si Bunge la Katiba, Samweli Sitta angekuwa Rais

Yeye alivyotoswa uspika angebaki mbunge bila kishadadikia uwaziri mchuro aliohongwa. Hats uspika wa bunge la katiba ni tamaa yake na ndo imemponza.
 
6 tamaa ya fweedha ili mmaliza na kufifisha nyota yake iliyo uawa kwa makusudi na mafisafi
 
Maths is fun bt its real. Mkiti alikuwa awe Macho ya kengeza bt they had their senses on. Wakamuachia jamaa akaingia kwa kichwa na miguu. what is left tuanawaachia story tellers

Arudi kwenye ubunge tu kwani muda bado upo
 
Jamaa anatamaa sana na hela,kiukweli angebaki na heshima yake ingemfaa sana wakati huu.
 
Bara tabia yake iliwekwa bayana na bunge la katiba ya Chenge. Ilituwezesha kujua rangi yake halisi
 
6 wakat Wa bunge LA 9 alikuwa Na ugonvi Jk kwahiyo aliona fahari kuiangusha serikali yake, baada ya malidhiano kwenye bunge la katiba 6 akataka kulidhisha jk Na kuonesha kuwa mtafaruku umeisha wakat 6 anafanyahivyo hajui kama anajiunguza mwenyewe
 
Mnavyomshambulia Sitta kana kwamba ameshapitshwa na chama chake kupeperusha bendera.Subiri apitishwe muone jinsi atakavyoshinda kwa asilimia zaidi ya 70. UKIWA hakuna wa kutuongoza watanzania maana ni wasakatonge.
 
Nashukuru bunge la katiba maana tungekuwa na rais bogasi kupita maelezo
 
Nashukuru bunge la katiba maana tungekuwa na rais bogasi kupita maelezo

Ni mungu aliamua kuwafungulia watanzania kwa njia moja ama nyingine ya kujua tabia ya huyu mzee wetu tulikuwa na imani kubwa sana naye
 
Huyu mzee anajuta kuwajua CCM. Mzee mzima kama hayupo vile. Makeke yake yote kakunjwa mkia makalioni. Alijiona supersta,Katuharibia katiba na nyodo juu, KIKO WAPI WEWE SITTA?
Bure kabisa. Unazidiwa na mtoto mdogo Mwizi wa Mitihani January Makamba? Na Fisadi Membe?
Rudi urambo ukalime tumbaku,
Pole my ex-Tabora school alumnae.
Unafki umekupa taji.
 
kaonewa bure , kisingizio cha kumtoa ni umri na ugonjwa
 
Mkuu hilo nalo neno

Mh hivi kuna mwenye akili timamu ambaye mawazo yake yaliamini watu kama Six,),Hasira na watu kama hao wangewaza kufikiriwa katika uongozi,nawashangaa sana washauri wao.
 
Back
Top Bottom