onene
Senior Member
- Jan 11, 2015
- 158
- 26
acha uchizi unajuaumebaki muda gani kabla ya uchaguzi mkuu?
Usijitoe fahamu unajua sheria inataka jimbo lililo wazi uchaguzi utangazwe ndani ya muda gani?
acha uchizi unajuaumebaki muda gani kabla ya uchaguzi mkuu?
Kifo ni sehemu ya mapito ya mwanadamu! Ila kitendo cha kuwa gamba namchukulia kama sehemu ya wasaliti wa watanzania! Na mungu amuweke pahala panapostahili! Samaki mmoja akioza wote wameoza! Na yeye ni sehemu yao!!!R. I. P Katamboy! Japo tulikua tuna kesi ya Ardhi lkn hamna anayependa kuwa hivyo, kwa 7bu kifo ni sehemu yetu sote
umepamba sana bandiko lako la msiba ila naona angekuwa mtenda haki angekuwa ule upande mwingine! UliojipambanuaDiwani wa kata ya Olasiti Mh. Ismail Katamboy amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Mh Katamboy alikuwa ngonjwa kwa muda kidogo, ambapo mapema mwezi February alipelekwa Nairobi kwa matibabu, baada ya kupata nafuu akarudishwa nyumbani.
Hali yake iligeuka ghafla majuzi na kupelekwa katika hospitali ya seliani hapa Arusha, hadi umauti ulipomkuta.
Kwa muda mfupi niliyokutana naye kwenye vikao vya WDC huyu mzee alikuwa siyo mtu wa utani wala hakuwa na kona kona, ilifikia hata baadhi wa watumishi wa serikali walimchukia kwa tabia yake ya kutokukopesha au kukwepesha.
Hakuwa na tabia za magamba huyu mzee...
R.I.P. Mzee Katamboy
umepamba sana bandiko lako la msiba ila naona angekuwa mtenda haki angekuwa ule upande mwingine! Uliojipambanua
Poleni sana kwa kutuachia ukawa nafasi.
swissme
Hii ndio tofauti ya CHADEMA na watanzania!r.i.p marehemu.
Ila ni jambo la here gamba akitutoka
Mungu amsamehe pale alipokosea na apokee Roho yake.
Hii ndio tofauti ya CHADEMA na watanzania!