Recent content by luvcesy

  1. luvcesy

    Obama alidanganya kuhusu mauaji ya Bin laden

    Mbona jana nimemuona
  2. luvcesy

    Tahadhari utapeli SACCOS

    Serikali inalichukuliaje hili suala maana najua watu wengi sana watakua wamelizwa kwa jinsi ilivyo rahisi kujipatia pesa kwa hawa matapeli
  3. luvcesy

    Tahadhari utapeli SACCOS

    Kuna kampuni inajiita Credit Saccos inatoa mikopo online naombeni kwa wanaoijua vizuri maana nimekuja hapa palipo address yao hakuna kampuni kama hiyo. Nimejiribu kuwasilian nao kwa namba zao wakipokea hawatoi exactly the place walipo. Tuwe makini maana inaoneka hawa jamaa ni hewa.link yao...
  4. luvcesy

    toyota honda crv 4m

    Sijawahi kusikia Toyota honda Crv hii itakua yakichina. Kueni makini mnalizwa hapa.
  5. luvcesy

    Basi la Sharon linalofanya safari za Arusha - Dodoma, limepata ajali Arusha Airport

    Acha kudanganya umma maana hata kabila tuu ni tofauti mbali na majina, mmiliki wa hilo bus pia ni mmiliki wa Hiace za Sharon zilizozagaa hapo mjini Arusha.
  6. luvcesy

    Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida

    Maunda njoo chukua dawa plz: i will gv u Bioclinic day/night, tonner ya tea tree na even out ikijirudia hiyo hali unagundu.
  7. luvcesy

    Kuroiler Breeds

    Naomba namba zako mkuu niko bomang'ombe
  8. luvcesy

    Lemutuz na Instagram Part 2

    Watu wanajua kuchora katuni kweli, hivi kuna mtu ana umbo kama hili hapa duniani?
  9. luvcesy

    Msaada jamani nataka kubadili my username kabisaaaa loh!......

    Chawote,Chausiku au Tabu, kama yana watu yote jaribu Shida. Majina mazuri yakikwetu hayo.
  10. luvcesy

    Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    Nenda China kaka kwa pale ukiwa na malengo nakupa miezi sita hujaanza kujenga Bongo basi ujue umelogwa. Kama uko serious nitafute kwa maelezo zaidi ila nikikupa msaada wa connection kwa wenyeji pale hope nitakua nimetimiza ndoto zako.
  11. luvcesy

    Wadada njooni huku, wallet kali bei cheee

    Ni PM mkuu haina shida kama uko serious na biashara
  12. luvcesy

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Ufisadi mtamu sana, mazoezi na V8 mgongoni imekaa poa sana.Acha atumie vibaya kodi (mafuta)za walala hoi ila asisahau mungu yupo .
  13. luvcesy

    Wadada njooni huku, wallet kali bei cheee

    Wateja wa jumla pia mnakaribishwa bei yenu ipo.
Back
Top Bottom