Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Pole sana Mkuu, Chalenge wanayo pata Wafugaji wengi na wakulima ni ya Kufuga kwa Nia ya simu, Hii njia kamwe mtu huwezi fanikiwa, Hao unao waachia hawana uchungu na hiyi mali, hata wakifa kwao haiwa pain chochote, Ila wewe mwenye uchungu nazani hata kula unaweza usile, Changamoto ndo hizo ila Kama kweli mtu anataka kufuga au kulima kibaishara ni lazima uchague moja, Kuwa full kwenye kazi au kuendelea kupata hasara huku ukifuga kwa njia ya simu
Thanx I will do just that ni kuwepo kila mda hapo ingawa nina biashara nyingi nashukuru sana