JamiiForums Tanzania
Kupaniki
Jitengenezee mazingira ya kuchukulia poa vitu hasa kwa kujichanganya na wenzako,pia ukikutana na jambo mfano mtu kakukera usimtolee kauli yoyote ile mpk pale hasira zako zitakapokuwa zimeisha apo sasa unaweza kumfuata na kumwelekeza akitaka ugomvi potezea tena ukiendelea hivo itasaidia japo...