Recent content by lutolucy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Maawazo ni hali ya kawaida kwa mtanzania anayeishi chini ya dola 1 kwa siku.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Polisi yazuia Operation Sangara ya CHADEMA Morogoro kisa hakuna Askari

    Habari wanajamvi!! Nimepita vipita shoto vya hapa Morogoro vya msamvu, Mjini na SUA kote huko nimekuta kuna POLISI wasiopungua kumi kwa kila kipita shoto. Na Kiongozi wao aliwaambia viongozi wa CHADEMA kwamba hakuna POLISI wa kutosha kulinda amani kwenye mkutano wao. Sasa hawa walioko huku...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kimenuka wapi? FFU wamepita hapa Tazara na gari tatu na la maji ya kuwasha

    Wanaelekea Muhimbili, Mwenzao mmoja kapigwa na amepoteza Radio call ndio hiyo wanaiitafuta.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jamaa amgonga mama na bintie kwa wakati mmoja.

    Kinasemaje? Tafadhari kisome!!
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am I beggining to loose my integrity?

    Dawa kubwa katika hilo ni kujipenda kwanza wewe mwenyewe then wengine wafate.
  6. L

    JamiiForums Tanzania CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

    Ndio maana wapo hapo. wapo hapo kwaajili ya kushangilia kila kitu kisemwacho. Kwani hukumbuki mitusi ya LUSINDE? nawalishangilia vile vile
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahaba niue!

    Huyo Mjamaica kinachomuuma zaidi ni kutishiwa maisha na mtoto wa kitanga, ndio maana aliomba ushauri. kwa sasa Interpool wanalishuhgulikia hilo swala
  8. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Eti unajivunia kwamba wataonyesha kwenye Television zaidi ya 5, ujinga mtupi. Umeme wenyewe hamna mtawapata hao hao waliofika hapo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni yupi yupo karibu na wananchi kati ya hawa wawili?

    Unalizalilisha JEMBE letu, yaani NAPE mtoto mdogo sana.
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    mshuwa umeona sasa kwamba ni vitu vingi alikuwa hajakwambia? Haya na polisi je alienda kufanya nini? Kwenye mgogoro huo umetuambia walishirikishwa Wazazi wa mwanamke, mshenga pamoja na wasimamizi wa Ndoa na mwafaka haujapatikana. sasa aende tu kwa PAROKO nadhani huko watayamaliza. Ila mshauri...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women In Balance-kitchen party Gala

    Kwa maelezo zaidi tembelea Blog ya Dinamarious.blogsport.com
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    Hao unaowazungumzia hapo nawafahamu vilivyo. Sasa ni hivi Huyo kaka alimpa ruhusa mke wake akamuuguze dada yake, wiki imekatika dada yake bado hali haikuwa nzuri akaomba kuendelea, kilichotokea baada ya hapo sasa. Huyo kaka akaandika kwenye wall yake ya fb "nimemruhusu mke wangu akasalimie wiki...
Back
Top Bottom